Recent content by d zamani

  1. D

    JamiiForums Tanzania Prudencia Kimiti ambae ni raia wa Uingereza na mtoto wa Waziri wa Zamani ashinda tuzo ya Malkia Elizabeth

    Kuna watu wanafikiri success is a zero sum game, ili yeye afanikiwe basi inabidi awashushe wengine au kusiwe na ushindani kabisa, tunawahitaji competent diasporas kwenye industries tofauti nchini kuleta ushindani. After all hautakiwi kuogopa coz TZ economy is a rising tide, itabeba wote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Muda gani umvumilie mwanaume ambaye hana kazi

    Inategemea mpo kwenye hatua gani ya mahusiano yenu, kama ni uchumba piga chini fasta huyo mtu, wote tunajua jukumu la kuhudumia mahusiano ni la mwanaume, kama hana mishe muda wake na akili yake yote awekeze kwenye kusimama kimaisha na sio mahusiano. Unajua mwanamke hajaumbwa kuhudumia familia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

    Raia wanavyotiririka inathibitisha jinsi gani huyu mwanamke alivyo toxic. Ni wakati sasa Sugu apate custody ya binti yake kwa sababu mzazi mwenzie amethibitisha on numerous occasions to be an unfit parent.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Beca unafurahisha sana. First things first, all relationships are transactional. Hakuna mtu anayekuwa na mtu bila ya kutegemea something in return, iwe sex, money, status, good energy, peace of mind etc. Kingine tambua mapenz Beca unafurahisha sana. First things fi Beca unafurahisha sana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hatua hii ikifika mara nyingI mahusiano huvunjika

    Kuzaa na mtu ni hatua kubwa kwenye maisha, na si kitu cha kuchukulia poa kwa mtu makini, itapendeza hayo maamuzi yakiwa consensual la sivyo mmoja anaweza kuona kama amekuwa blackmailed. Kuna wakati inabidi uwe mbinafsi ili ulinde maslahi yako, hauwezi kumuonea mtu huruma at your own expense...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mchepuko anatishia nisipomhudumia nitasaidiwa majukumu na wanaume wenzangu

    Kuna watu mna uvumilivu wa Yesu Kristo. Mbona kama we mwenyewe unapenda chaos kwenye maisha yako.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nilichukua maamuzi magumu

    Sema mwanaume kumlima manzi block haijakaa kiume, kumignore inatosha.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Leo nimeachwa na kublokiwa na mwanaume niliyempenda

    Me nataka kujua umri wako, nashangaa you are so naive, wanawake wa sasa wengi wao ey so ruthless, manipulative and calculative.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nampenda mpenzi wangu ila ni chibonge

    Ukiona hauoni ufahari kuongozana na bonge lako, piga chini. Kwenye mapenzi hakuna kuoneana huruma kila mtu anaangalia maslahi yake. Kwa sisi tusiowaelewa mabonge yani kudate bonge ni kama kudate demu mwenye mapengo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Asilimia 97 ya wanaume Hawaoi wanawake waliosota nao

    Unafurahisha kweli, kwenye mahusiano hakuna kuoneana huruma, kila mtu anaangalia maslahi yake. Ukiona mwanamke yupo na wewe kwenye msoto, we jua tu ww ndio level yake, anaowataka yeye hawamtaki, wanaishia kumchezea tu. Unazani angejaliwa uzuri na shape zaidi ya aliyokuwa nayo angeendelea...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya Wanaume niliokuwa nao kimapenzi waliniomba hela

    Inafurahisha sana pale wanawake wanapofikiria wakiwa na kipato watapata mapenzi ya dhati only to find out guys love them for their paper and they hate it. Mwanamke lilia uzuri sio kipato, wanaume watashindana kukuhudumia na kufanya maisha yako na ya uzao wako kuwa rahisi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Haya ndio madhara ya kuwa na mwanamke ambaye anaona akiachana na wewe hana cha kupoteza.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

    Ushauri wangu upo tofauti na wa wanaume wengi, si umesema nyumba na gari vipo kwenye jina lako? basi hakuna kurudisha, ndio ukumbusho wa penzi lenu, unapolipiwa kodi hama, kapange pengine. Mwanaume mwenye uwezo wa kukujengea nyumba, kukununulia gari na kukupeleka vacations bila kuwaza hawezi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

    Kwani nini maana ya friends with benefits? Kwa kifupi mwanaume unapata sex bila ya kutoa benefits za relationships, iwe mitoko, zawadi, emotional attachments n.k Friendzone, mwanamke anapata benefits za relationship without offering the sex.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awashukia wasomi nchini, asema anajua watamshambulia katika mitandao

    Yaani icho kinamkera speaker mpaka anakiongea bungeni? Natamani kujua yeye alisomea nini. Tusidanganyane, degree na vyuo havina thamani sawa kwenye soko la ajira na ata perception ya jamii. Btw umegundua fani zote alizozitaja unahitaji leseni kupractice legally baada ya kupata degree yako.
Back
Top Bottom