Recent content by Cybercrime

  1. C

    Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    CHADEMA.huwa wanajifanya kuwaiga CCM Kwa propaganda lakin ni sifuri kabisa. sasa hii si aibu kubwa kwao?i
  2. C

    Zitto Kabwe, usipotoshe watu kuhusu Deni la Taifa

    Nimeelewa, Kwa.kazi nzuri inayofanywa na serikali hilo deni bado ni dogo sana.ukifungua hiyo link utagundua tuko vizuri sana. Hongera sana Machali Kwa kutupa facts, Mimi huwa ni muumini wa facts. na porojo za akina Zitto
  3. C

    Prof. Lipumba asema haungi mkono hatua ya Mbowe kusoma hadharani barua aliyomwandikia Rais, adai CUF haitasusia Uchaguzi katika Mazingira yoyote

    Hatua ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Taifa, kusoma hadharani barua aliyomuandikia Rais John Magufuli, imekebehiwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF – Taifa amekejeli hatua hiyo na kusema...
  4. C

    Rais Magufuli, Barrick na Nasaha za Profesa Zartman*

    _Na Mwamba wa Kaskazini_ Bingwa wa masuala ya utatuzi wa migogoro duniani, Profesa William Zartman amewahi kueleza nadharia yake inayoshadidia wakati gani ni muafaka kuumaliza mgogoro unaoumiza pande zote mbili. Katika nadharia yake aliyoiita “Mutual Hurting Stalemate,” Prof. Zartman anasema...
  5. C

    Tanzania na Barrick zasaini mkataba wa makubaliano. Tanzania kuwa na hisa asilimia 16 na kupata faida ya asilimia 50

    *Rais Dokta John Pombe Magufuli* #Ndugu Watanzania,Kukaa meza ya Mazungumzo na Kigogo hiki Barrick,chenye msuli mkubwa wa uwezo na Ushawishi,haikua kazi rahisi. #Nampongeza sana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Profesa Paramagamba Kabudi,aliyeongoza timu ya Wataalamu...
  6. C

    Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania

    WADHAMINI wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wamemwandikia barua Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakimuomba awasaidie kumleta mshitakiwa Lissu hapa nchini. Mdhamini Robert Katula ameeleza hayo leo Januari 20, 2020 mbele...
  7. C

    GE2020 Mbunge wa Kigoma Mjini 2020

    Matusi hayana tlja, waacheni wana kigoma wafanya maamuzi sahihi
  8. C

    GE2020 Mbunge wa Kigoma Mjini 2020

    Maamuzi ni yenu, chagueni anayewafaa
  9. C

    Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

    Ulitaka usikie nyimbo za Bongo Fleva kwenye pikipiki au?
  10. C

    Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

    Mwakyembe ni Waziri mwenye hofu ya Mungu asingeweza kupotezea ajali hiyo
  11. C

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ajiuzulu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

    Selasini amemwandikia barua Mbowe leo Januari 13 2020 na kuwapa Nakala ya barua hiyo Spika wa Bunge Job Yustimo Ndugai na Katibu wa Bunge Steven Kagaigai. Selasini ameweka wazi sababu za kujiuzulu nafasi hiyo kuwa kukaimishwa kwa muda mrefu bila kuthibitishwa Japo hajawahi kuonywa kwa...
  12. C

    Yaliyojiri wakati Rais akizindua hoteli ya nyota tano ya Verde leo Januari 11, 2020 Zanzibar

    Leo ni siku muhimu kwa maendeleo ya taifa letu hasa kwa uwekezaji huu mkubwa uliozalisha ajira zaidi ya 200. Miradi kama hii inadhihirisha tunajikomboa kiuchumi. Hoteli hii yenye hadhi ya nyota tano inachochea kukua kwa uchumi, hongera muwekezaji Umenifurahisha umelipa kodi toka ulipoanza...
Back
Top Bottom