Zitto Kabwe, usipotoshe watu kuhusu Deni la Taifa

Makambako1

Member
Jan 17, 2020
25
38
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya:

www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/

ni kama ifuatavyo:
Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake.

Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:

Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za Kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini?

Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari.

Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania? Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020

Soma: Mkopo wa SGR wa tril 3.3 kwa riba ya 9% kwa miaka 20 tutalipa jumla ya zaidi ya Tshs Tril 7.36 huku riba ikiwa tril 4.06
 
Ukiwa kada wa CCM unakua na akili nyingi sana, huyu Machali toka yuko CCM amekuwa na akili sana.. Hongera Machali kwa kuwa genius..

Japan the giant of pacific since 1900s, akimiliki red army, wanakamikadze wakaitwanga ile pearly harbour na kuharibu kabiza uwezo wa navy ya beberu mkuu..
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:

Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020
Sasa wewe ndio mkweli? Watanzania sio wapumbavu kama mnavyodhania wana uelewa mpana,sio wale wa ndio bwana au kupiga kura,kizazi hiki ni kipya kilichoelimika hakidanganyiki ni kizazi cha kuhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:

Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020
Hivi unatambua ukweli kuhusu masharti na dhamana ya mikopo inayochukuliwa? Mh. Zitto anatoa tahadhari ikiwa ni wajibu wake kama kiongozi mmojawapo wa upande wa upinzani. Tatizo la kuokoteza takwimu za kiuchumi zinazotubeba ili kuhalalisha mapungufu ya serikali ni ubabaishaji mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:

Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020

We hamnazo, walipojigamba kuwa miradi inajengwa kwa pesa ya ndani mkawa mnashangilia, Leo tunakopa mnatetea mikopo usiwe kama popo!
 
Usiku Wa Deni Haukawii Kucha Dawa Ya Deni Kulipa Najua Mmenielewa

Deni La Taifa Ni Himilivu
Kukopa Siyo Dhambi!!!!
Zitto hapo hajafanya kosa lolote maana nyinyi wenyewe mlituambia tena kwa kujigamba kuwa hamna haja ya kukopa kwani ni matajiri sana na mna mapesa mengi.

Sasa leo hii tunaambiwa kuwa deni la taifa linakimbia kama na karibu tutaingia kwenye red line yaani kutokopesheka.

In God we Trust
 
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:

Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020
Machali usituletee story za ulinganisho.
Kila Taifa lina mwelekeo wake. Na huwezi linganisha pato la Japan na Tanzania.
Hii ni sawa na kuambiwa mke wa fulani ni mzinzi ukamlinganisha na mkeo ambae ni mcha Mungu.
Tukubaliane deni la Taifa limekuwa kubwa kulinganisha na kipindi chochote cha utawala ulio tangulia. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya Zitto. Kama ulitaka kumjibu ungekuja na hoja ni kwanini deni liwe kubwa wakati tuna aminishwa TRA ina kusanya mapato mengi kuliko kipindi kingine chochote tangu tupate uhuru.
Pia tuna aminishwa mradi yote inayo endelea Tanzania ni fedha za ndani.
Hakuna mfanya kazi alie ongezwa mshahara tangu mmeingia madarakani. Mmekusanya sadaka hadi kwa Wamachinga, sasa mikopo ni ya nini na ina fanya kazi gani??
Msitutoe kwenye hoja kwa kutuambia mataifa mengine yana madeni makubwa, hiyo siyo logic. Ni sawa na wale wanaolinganisha matumizi ya Watanzania na nchi jirani. Kila mzazi hupenda kuwaweka watoto wake kwenye hali nzuri bila kusema mbona familia ya fulani ina kula mlo mmoja. Hiyo Kenya unayo izungumzia Wabunge wamekataa nchi yao kuendelea kukopa leo unaifananisha na sisi Tanzania ambao mna kopa hata bila kushirikisha wawakilishi wetu?? Hebu oneni aibu na mjue madaraka mliyo nayo ni ya kuongoza na sio kututawala. Sisi ni Jamhuri. Mamlaka yana toka kwetu, na siyo kwenu... Madaraka yasiwa fanye kuwa kasuku.
Maendeleo hayana Chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo japan kuwa na deni kubwa ni justification ya sisi kukopa kama vichaa. Halafu angalia watu unaojifananisha nao aiseee...

Hivi kwa akili zako sisi na japani tupo kwenye same level kimaisha? Mbna kuna nchi kibao masikini africa zina madeni umeshindwa kuzitolea mifano?

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa huna akili kabisa ukitaka kufananisha na hilo angalia deni la taifa la nchi husika angalia na pato la taifa utagundua sie tunadaiwa pesa ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukopa au uwezo wa nchi kukopa inategemea na nguvu ya uchumi wa nchi husika.

Kwa nchi yetu very soon inaingia kwenye red line ya kutokopesheka tena
Nimeelewa, Kwa.kazi nzuri inayofanywa na serikali hilo deni bado ni dogo sana.ukifungua hiyo link utagundua tuko vizuri sana. Hongera sana Machali Kwa kutupa facts, Mimi huwa ni muumini wa facts. na porojo za akina Zitto

In God we Trust
 
Huyo mleta mada ni zaidi ya mpotoshaji mkubwa na mpumbavu sana
Kwa hiyo japan kuwa na deni kubwa ni justification ya sisi kukopa kama vichaa. Halafu angalia watu unaojifananisha nao aiseee...

Hivi kwa akili zako sisi na japani tupo kwenye same level kimaisha? Mbna kuna nchi kibao masikini africa zina madeni umeshindwa kuzitolea mifano?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Machali ndiyo kaandika haya ???
Na Moses Machali

Nimepitia tweet yako inayo circulate mitandaoni Mhe Zitto Kabwe kuhusu deni la taifa ukijaribu kuamisha watu kuwa huenda ni Tanzania pekee inayokopa duniani. Kwa ufupi sana hali ya madeni kwa baadhi ya nchi ikihusianishwa na ukubwa wa uchumi wao kwa mujibu wa
tovuti ya : www.worldpopulationreview.com/countries/countries-by-national-debt/
ni kama ifuatavyo:

Japan ndiyo taifa lenye deni kubwa ikilinganishwa na ukubwa wa uchumi wake (yaani Debt to GDP Ratio of the country). Nchi hii ina deni la Dola za marekani 9.087 trilion sawa na 234.18% ya uchumi wake. Tanzania tuna deni la 36.5% ya GDP yetu. Sasa usishangae Tanzania kukopa na kufanya mambo makubwa kama inavyoonekana chini ya serikali hii ya awamu ya tano.

Nchi nyingine wana madeni makubwa kama ifuatavyo:
Canada inadaiwa Dola 925 billion sawa na 83.81% ya DGP ya nchi hiyo.

Ujerumani ina deni la Dola za kimarekani 2.527 billion sawa na 59.81%.

Kwa hiyo upotoshaji mwingine haufai kwa sababu tu mtu ana chuki na kiongozi wa Fulani wa nchi. Siyo ajabu nchi au mtu au Kampuni kukopa bali suala au hoja ya msingi ni je, nchi au mtu au Kampuni inakopa kwa ajili ya kufanya nini? Serikali kwa niaba ya taifa ikikopa na kujenga miundombinu ya Msingi kama inavyofanya hivi sana serikali siyo dhambi. Kwa hiyo Zitto uache kujaribu kupotosha kuwa deni la taifa ni kana kwamba halina manufaa kwa nchi yetu. Rudi kwenye msitari. Pengine tueleze iwapo deni la taifa limefanya mambo makubwa au halijfanya mambo makubwa katika nyanja mbalimbali?

Wanakopa nchi Tajiri duniani sembuse sisi Tanzania??!!! Canada wanakopa, Marekani, Ujerumani, Uingereza, Ubeligiji, China, nk wanakopa. Hata jirani zetu wa Kenya wana deni la 55.50% ya Ukubwa wa uchumi wao huku Tanzania tukiwa na deni la 36.5% ya ukubwa uchumi wetu.

Muwe na siku njema

Moses J. Machali
15/02/2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom