Recent content by Cyb

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes

    Kuna gearbox hazina dipstick.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Yaani mtu na pesa zake anataka kujenga hekalu lake nafsi yake ifurahi hata kama anaishi mwenyewe humo nyie mnaumia.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

    Kila mwanamke ni mama yako?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Jibu fupi, hapana.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

    Kwa hiyo Ulaya yote hakuna Wazungu wanaoosha vyombo? Taarifa ni bure chifu, usitumie mtandao kuwa rage baiter na troll tu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

    Kwani chuo ni masomo muda wote saa 1 asubuhi mpaka saa 2 usiku kila siku Jumatatu hadi Ijumaa? Ni mipango tu, kuna watu wanafanya kazi za kuajiriwa, bado wanasoma na kitabu kinaenda vizuri tu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mabinti Hawa majasiri wamenikosha sana, Mungu awabariki sana

    Hata ngozi nyeupe hizo ni kazi wengi wanazofanya kujikimu wakati wanasoma. Nimeosha nao vyombo sana, kuwa servers migahawani, kufanya delivery, babysitting, kutembeza mbwa na paka, nk. Kusema hii ni kutojitambua kwa ngozi nyeusi ni kuonesha hujui mambo yanaendaje huko nje.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

    Kama mtu amewahi kuuguza mgonjwa wa figo, ini, nk ataelewa wanachopitia. Kuishi na magonjwa ya hivyo viungo ni mateso. Tufanye yote yanawezekana kuvitunza.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nipo Dar: Nitajuaje huyu demu sio Chura au ni Chura

    Bonyeza ⊞ Win (Windows key kwenye keyboard) na . (nukta) kwa pamoja.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

    Takwimu zipo nyingi. Ni wapi nimejustify mauaji? Kujibu mtu kwamba hao anaowasifia nao wana matatizo yao ni ku-justify?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

    Matukio kama haya si ya kibinadamu kabisa, lakini kusema yako huku Afrika tu ni kutokujua na kushindwa kufuatilia matukio yanayoendelea mabara mengine. Nikufahamishe tu kwamba kuna maeneo Afrika na hasa Tanzania tuna afadhali mno. Unyanyasaji wa kijinsia na watoto upo sana Amerika, mauaji ya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Angellah Kairuki: Matumizi ya Internet yameongezeka kwa asilimia 19.5, watumiaji wafikia Milioni 58.9

    Kama mtu mmoja ana simu mbili wanahesabu watumiaji wawili.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tuache unguchiro

    Sasa mkuu, si utueleweshe ni wapi hatujakuelewa kuliko kurudia rudia tu kwamba hatuelewi na hatutoi hoja za maana?
Back
Top Bottom