Recent content by Cute M

  1. C

    Uchumba ni hatari sana...!

    Sikia nikupe akili ili ucwe mby,mwambie jamaa amfanyie baby wake suprise aje bila information then mpitishe maeneo husuka ajionee mwenyw aamue kunyoa au kusuka akijua nywele hazifai kusuka,ucseme lolote mapenz noma anaweza hisi unamtaka demu wake
  2. C

    Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

    Jaman wadau nisaidien kujua jinsi ya kupost topic jf nahitaji msaada wenu plz
  3. C

    Ujumbe wangu wa jioni ya leo kwa wasio ndani ya ndoa...

    So good and is true nowday especialy girls waforce coz wameona somebody wao wapo kwenye ndoa,take care girls
  4. C

    Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

    Achana nae unaweza kurudiana nae kwa lengo la kumtenda ukajikuta umetendwa zaidi wanawake noma ww huwezi jua kajipanga vp yy co mjng
  5. C

    She is here now, I need her back

    Pole xana girl but nakushauri umrudie mpenz wako coz he have real lv to u,now days kumpata mume wakuoa na mwenye mapenz ya dhati jaribu kustart new page and forget about past look foward
  6. C

    Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

    That is true man, haina haja ya kubisha tangu ln mshahara ukakutosha?
  7. C

    Mchango wa mawazo

    Kijana biashara inaweza kukutia hasara coz hazitabiriki,tafuta kiwanja cha bei rahisi jenga nyumba mtakayoishi na ndugu yako then kiasi kilichobaki ndo ufanyie biashara onyo ucwekeze pesa yote kwny biashara
  8. C

    Excuse me! Hii ndio siri kubwa ya supplimentary vyuoni

    Huwezi amin ila ni ukweli ntakuhadithia if u want
  9. C

    Excuse me! Hii ndio siri kubwa ya supplimentary vyuoni

    Nakuunga mkono,unaweza kusapp kweli ila kuchomoa ni mziki,yalinikuta nikiwa chuo km co kuwa makini ningerudia mwaka kwa tamaa za pesa,alinisaidia mtu kufuatilia kwa akili wakadai ni makosa ya typing kweli issue serious km hii utakuwaje mzembe kwny kuifanya then wakaguzi pia hawakuona hl kosa?
  10. C

    Unakubaliana na mimi??

    Jamam kwa karne hii wanaume ndo wambea na wanapenda kubadilisha wanawake km nguo,wanawake wa leo tunatafuta pesa na maendeleo hatuna muda na hayo
  11. C

    Mapenzi bora ni haya jamani

    Kweli kabsa ukiweza hayo yote utakua na ndoa yenye furaha mpk milele
  12. C

    Operesheni bomoa bomoa Temeke

    Nivzr km wamewaandalia eneo la kufanyia biashara zao,tofauti na hapo watakua wanaongeza idadi ya wahalifu mitaani
  13. C

    Msaada tafadhali mke wangu anaumwa!

    Hz ni athari za uzazi wa mpango mpele kwa doctor bingwa wa wanawake atapona,ni kawaida wala uchofu atapona
Back
Top Bottom