Unakubaliana na mimi??

Unakubaliana na mimi??

Kwanza umbea wa wanawake wa tandale uzuri hauwezi kuwa sawa na umbea wa wanawake wa masaki, mbezi, kimara nk. Hizi analysis yako haitoshi ku draw general conclusion kuhusu tabia za wanaume au wanawake regardless of their nationality.
 
At the end of the day its gossip. Lets not complicate issues and deviate from the topic.
 
Even if its gossip the levels can't be the same for all women or men! I think the classes matter among men and women in categorizing their behaviors!

its true classes in the society do matter bt if we will consider that issue then we are not going anywhere and we cannot draw any conclusion since people`s behaviour`s differ according to the area of residence, so what should matter here is number of people who outnumber others
 
Jamam kwa karne hii wanaume ndo wambea na wanapenda kubadilisha wanawake km nguo,wanawake wa leo tunatafuta pesa na maendeleo hatuna muda na hayo
 
ila katika mapenzi wote tuko sawa ila nyie WANAUME ndo mmezidi
 
Kweli kabisa, hiyo ni kimaumbile kabisa. Ndo maana mtu akiingilia sifa za mwenzake anaonekana wa ajabu. Kwa mfano mwanaume mmbea na mwanamke mcheza mpira.
 
na hizi ni
athari za demokrasia hizi zinachochea(influence) haki sawa kwa wote matokeo yake ndo haya na mwishowe tunakuwa watu wa ajabu mwanaume mmbea mmmhh!! Sipati picha kwa kweli
 
Back
Top Bottom