Recent content by Cuscoo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lijue serikali/baraza la mawaziri

  2. C

    JamiiForums Tanzania Lijue serikali/baraza la mawaziri

    Nimeamua kuidadavua serikali na Baraza la Dr.Magufuli: Kwa Kifupi idadi ya Mawaziri na Naibu waziri ni 35, Kati ya hao: Prof - 4 PhDs - 7 Masters - 21 1st Degree - 1 Diploma + - 2 Pata undani wa elimu za baraza: Rais: Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths) Makamu wa Rais: Samia...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa Zitto Kabwe Lindi

    By Mtimbo nyie watu mna matatizo sana na zitto! umeshakili hilo gazeti ni la team lowasa na lipo hapo kimkakati kwa nini usihisi labda sehemu aliyolipuliwa lowasa haikuwekwa hapo,!? hivi unategemea kabisa lowasa asemwe vibaya halafu mhariri wa gazeti hilo aiweke!? kushindwa kwako kuyaona...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Zitto awashambulia watangaza nia wa CCM

    Pia kuna gazeti la majira limemwandika hata Lowassa katika ile orodha, ila wasiwasi wangu nimeona jinsi alivyoandikwa Lowassa inadhihirisha Zitto hamutupii makombora kama anavyofanya kwa wengine, hapa anasema tu auambie umma yaliyojiri kwa kashfa ya Richmond kuwa akanushe kutohusika kwake kisha...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa inawezekana huna Parkinson's disease - PD

    MkamaP Kiongozi naona unataka kuleta debate isiyo na tija , huyu mtu clinic yake ni Ujeramani achana na India tuliyozoea, sasa Wajerumani wasijue hayo yote - you guys by Mkosamali!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli arudisha fomu za udhamini kugombea urais mjini Dodoma

    Songa mbele kamanda Pombe Magufuli!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kongwa wamkaribisha Magufuli wamdhamini

    Pambana kamanda mpaka kielewekee!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtizame Magufuli alivyopata wadhamini Iringa Vijijini

    Kaza buti Dkt.Pombe!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtizame Magufuli alivyopata wadhamini Iringa Vijijini

    Kama ni kweli anaenda kwa mtindo huu, atakuwa anawakosha watanzania!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli asomba wadhamini Mjini Morogoro

    https://m.youtube.com/watch?v=LofQGOS0bCM
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe (2004): Dkt. Magufuli aliahidi na kutimiza lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba

    Magufuli kwa kuwa katika kazi zako unamtanguliza Mungu, hakika watanzania wanakuona na wanakuombea!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

    https://m.youtube.com/watch?v=Pgv1bO3qqJg
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

    Hakika historia inawalinda!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli akamilisha kupata wadhamini Zanzibar

    Siasa za bongo bwana mpaka basi!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Edward Lowassa mpaka kieleweke

Back
Top Bottom