kama si lowasa basi ni magufuli
kama si lowasa basi ni magufuli
View attachment 260078View attachment 260080Kuhusu Pemba baadae kidogo!
Wilaya ya Unguja Kati
View attachment 260081View attachment 260082View attachment 260084
Wilaya ya Kaskazini Unguja
View attachment 260090View attachment 260092View attachment 260093View attachment 260094
Wilaya ya Mfenesini
Team Lowassa tayari imeshatenga mamilioni kumchafua. Muda si mrefu atawekwa hadharani
Hakika tunamhitaji sana magufuli huu wakati anatakiwa sana kuwa mbele ya watanzania.JP Magufuli ni chaguo la Mbingu na Ardhi.
Hawana hoja kila siku nyumba zimeuzwa hawana hoja nyingine wahuni wale.Team Lowassa tayari imeshatenga mamilioni kumchafua. Muda si mrefu atawekwa hadharani
Zikirudishwa nyumba za watumishi nitampa kura yangu. Na alipe fidia ya kodi niliyolipa tangu tarehe 25/4/2005 nilipoajiriwa kama mtumishi wa umma.
ocampo four njaa tu inamhangaisha. Ni kama rafiki yangu yuleeeee....Anajiita mwanahabari kwa sababu tu anataka apate mpunga kwenye maonyesho ya saba saba na Nanenane, na sasa anapata mkate wake toka kwa Lowassa. ocampo four nae yuko majalala anajaribisha bahati yake kwa EL.Hiyo team Lowassa ikiongozwa na Ocampo Four ilishashindwa na waje kwa hoja zenye mashiko na Ukweli bila hivyo wataaibika na kashfa zao Za kuokota mabarabarani!
ocampo four njaa tu inamhangaisha. Ni kama rafiki yangu yuleeeee....Anajiita mwanahabari kwa sababu tu anataka apate mpunga kwenye maonyesho ya saba saba na Nanenane, na sasa anapata mkate wake toka kwa Lowassa. ocampo four nae yuko majalala anajaribisha bahati yake kwa EL.
Na kifo chao kimekaribia EL atakapochinjiwa mtoni! Hakuna cha Ocampo au ICC