Sahivi kila mtu anakufa na mzigo wake. Hata haya mashamba kila mtu apate kipande chake apambaneee nayoo kivyakeee.......mzee alikua anawaweka sana hao ndugu kwenye miradi yake, alipofariki si wakaanza kusema ni miradi yao mana wengi walijisahau hawakujiongeza kutafuta vyao wakasahau na huyo...
Mwingine aliachaga mapema tu tena wale wa mwanzo mwanzo tu ndio kampuni yamotoo....akakimbilia kwenye kilimo cha avocadoo, sahivi naona yuko vizuri sana kiuchumi hata brand yake inatembea sana
Hili kampuni huku kwetu sijui inakuaje, kweli kwenye mechi nyingii tu za epl naonaga matangazo kibao pale yanapita na ni miaka nenda rudi huko ulaya ipogoo tu ila huku kwetu pasua kichwaa....mimi jamaa nilipiga nae advance tukakutanaga muhas yeye akiwa hapo mimi nikiwa udsm....hawa walikua pale...
Dialysis ni ghali kuliko keupe kenyewe. Kwenye kuzungusha mezani mnakuwa wengi ila kwenye kuchujwa damu masaa kadhaa kwa wikiara tatu au zaidi unakuaa alone na upweke kama wotee
Zamani vijana ndio walikua nyuma sana kwenye uelewa wa haya mambo, siku hizi elimu inakua sana na uelewa unaongezeka....watu wanatambua katiba ndio nguzo kuu kwao ingawa watawala wetu wanajitahidi sana kulififisha hili jamboo
Miaka 30 unapata m29? Hata darasa la saba sidhani kama anapaata hii......ukiingia na elimu ndogo unatakiwa ujibusti taratibu sasa ukilala tu kwenye malindo mbaka unazeeka ni tatizoo
Wale viongozi wetu maofisini wenye jazba na hasira huko maofisini tena jinsia KE ndio huwa wana tabu sana, ukikuta ni singo mama hivii.....hapati sex kwa wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.