Recent content by Curious Vampire

  1. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

    Wewe unayafanya haya unayohubiri?
  2. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Rahbi na Azam na uchambuzi wa mgogoro wa Israel na Hamas

    Nini kipimo cha akili timamu?
  3. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Video: Radi zimepiga Gaza utadhani kiama, sijui wana laana gani hawa

    Kuna vichwa vina wadudu aiseee....hizi si akili za mtu labda ng'ombe.
  4. Curious Vampire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

    Mganga wake alimtengenezea dawa iliyokuvuta wewe ndio amempa hayo masharti
  5. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi ni kizuri kwa course ya diploma in electrical engineering hapa bongo?

    Vyuo vyote vya Tanzania almost ni equal but not same...ila inategemea na akili ya mwanafunzi mwenyewe
  6. Curious Vampire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

    Wapenzi walioachana na bado wanawasiliana active basi hao bado wapo ktk mahusiano yasiyo rasmi au basi tangu mwanzo hawakuwahi kupendana kweli
  7. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

    Hata babu yangu na mkewe vilifatana ni mambo yakawaida.
  8. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

    Ameona mapingamizi yao hayatoshi kuwa vigezo vya kupinga kutumika kwa maelezo yale..kutokana na kukosekana ushahidi wa kutosha unaothibitisha claims zao bila kuacha shaka.
  9. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

    Acha utoto yaani serikali iache kumulika miradi ya maendeleo ...ianze kumulika vipindi vya watu kisa mtu kachafuliwa. Yule hajachafuli
  10. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Mmmh mbona inawezekana kabisa ila inategemea tu alizaa kwa interval ipi
  11. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Jay Moe vs Afande sele

    Afande sele alikuwa mwamba sana.. 1. Mtazamo 2. Darubini Kali 3. Mkuki moyoni 4. Ndugu zangu 5. Malaria 6. Mtu pesa 7. Karata dume..n.k
  12. Curious Vampire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

    Mkuu majibu yote unayo ila unasita tu kudhihirisha
  13. Curious Vampire

    JamiiForums Tanzania Mufti awataka waislamu kuacha MAJUNGU

    Waache tu maana hakuna namna
Back
Top Bottom