Kwanini unataka kuongeza size ya uume?
Unataka kumridhisha mke wako au ku boost ego yako wakati wa kufanya uhuni?
Kama ni kumridhisha mkeo, you are enough.
Kama ni kwaajili ya uhuni endelea kuteseka.
Mwenye rambo ana muwa wake, na mwenye kipisi cha sigara ana kifuniko chake cha speedo...
Kuna watoto wa mtaani unawapita kila siku wamelala vibarazani usiku utafkiri huwaoni, hata kilo ya sukari hujawahi kugawa kwenye kituo cha yatima, kijijini kwenu wanakunywa maji sehemu moja na mifugo, mahospitalini jirani zako wanakufa kwa kukosa pesa ya huduma.......sijui nataka kusema nini....
Nini maana ya kuwa kiongozi kama unakaa kuongea tu utafkiri uko kijiweni! We all know all these problems so what are you going to do about them?? Au we kazi yako ni kutukumbusha matatizo tuliyonayo kila siku! Too much talk no action! This woman should step down!
Post in thread 'Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo' Gazeti la JAMHURI limenunuliwa nakala zote ili lisionekane mtaani leo
Kweli uumbaji unapendeza, mataa taa na makelele huwa yanaficha this good vibe I'm having right now. Sema bar yetu jirani inapiga ngoma za kizaramo sijui kimakonde, sio mbaya, good choice
Lessons I got:
Trust your instincts. If your heart signals NOPE about someone just run hata kama huja pinpoint shida ni nini hasa.
I'm a better judge of character.
Consistency. If they are not consistent they're not genuine. Run.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.