Mr Kazembe
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 392
- 528
Tunskutakia mfungo mwema wa kuombes watu kifo amenWapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
