Kweli kabisa mkuu..hiyo nilishuhudia mwenyewe wala si kuhadithiwa,jamaa alimwambia mkewe nakupata talaka moja ukajirekebishe kwenu..mke akamwambia nipe tatu zote,jamaa akampa kweli ,baada ya siku mbili mke akarudi analia na msamaha juu kuwa zilikuwa hasira,jamaa akamwambia sheria akaolewe na mtu...