Recent content by CTX

  1. C

    JamiiForums Tanzania Duniani kuna mambo Aiseee

  2. C

    JamiiForums Tanzania Karoti

  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokutana nacho jana Temeke sina imani na wanawake wa Dar

    Hongera kwa kuishinda tamaa ya uzinzi.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wake zetu hawatuamkii asubuhi?

    Mwamkie yeye uone atarespond vp...
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiambiwa, baby tuzime taa, jiulize Mara mbili.

    😂😂😂😂😂
  6. C

    JamiiForums Tanzania Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

    Sio Siri gentamycine mwandiko wako unaniboa... Tuachanae na hayo lakini... Eddy Murphy muigizaji maarufu wa marekani hasa kwa upande wa komedi, na senga mchekeshaji wa bongo muvi, Hawa jamaa Kama mtu na Kaka yake vile. Mtazamo Wangu tu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tulioishia form four tukutane hapa

    Uzi umeuandika kishari mno, punguza hasira kwanza.
  8. C

    JamiiForums Tanzania ujumbe bora Sana huu, tukumbushane tu

    "Ukweli mchungu Iwapo unawapenda watoto wako, tafuta biashara, si kazi, kwa sababu ukifa watoto wako hawawezi kurithi kazi yako, lakini wanaweza kurithi biashara yako. "Kiuhalisia, ukifa unafanya kazi, bosi wako atamtafuta mtu wa kuziba nafasi hiyo kabla hata hujazikwa. Iwapo familia yako...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

    Ungemsikiliza kwanza anajambo Gani la kukuambia. Wewe hukumpa nafasi hata kidogo. Ulijudge haraka Sana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Soda gani unaipenda kuliko zote

  11. C

    JamiiForums Tanzania Nikishikaga simu ya mtu Cha kwanza kabisa naendaga chrome history

    Nawaza hapa simu nyingi sahiv zina password Sasa sijui unafunguaje? By the way... unaonekana we pia ni mhanga wa hizo videos so unatafuta wahanga wenzako au?
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnakosea mahesabu wadada wa mjini

    Sky Eclat, wadada wenye upeo wa kuchanganua mambo kama wewe wapo wachache Sana.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani

    Kaulimbiu ya Sasa siku ya wanawake duniani ni. _*Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu*_ Usawa wa Kijinsia ni hali ya upatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia. Hapa hazizungumziwi fursa za wewe mwanamke unaetumia mwili wako(kujiuza) kama kigezo cha...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

    Siku hizi wasanii wa bongo hasa wanawake sio kioo cha Jamii, ni kioo cha ngono tu na kujionyesha sehemu zao za siri. hakuna wanachoelimisha jamii. Zaidi sana wanaharibu kizazi cha sasa hivi na cha baadae
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

    Pole dajane kwa kufungiwa pm
Back
Top Bottom