Soda gani unaipenda kuliko zote

Soda gani unaipenda kuliko zote

Najua tupo ambao huwa hatuchaguagi soda zote sisi tunakunywa tukikuta pepsi fureshi, tukikuta mirinda barida,ukituchukulia coka haikatai,ukituleta Kwenye Sprite mzuka tu,sisi soda yoyote tunakunywa Tena tunakunywa kumaliza
Lakini najua iko moja ambayo ndio haswa chaguo lako yaani ukiipataa hio roho yako inaridhika kabisa.
tutajie soda pendwa moja tu ambayo flavour yake unaizimikia ewe mwana JF.
Nikianza na Mimi mwenyewe soda yangu ambayo siku nikitamani soda nikienda shola nainunua Ni hii inayoitwa spar letta
VIMTO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Mirinda nyeusi ndio imeshaleta balaa sasa, tatizo ina sukari sana
 
Back
Top Bottom