ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 909
kaka tumia tafsidaMtombe vizuri lazima akusalimie. Mana atakuwa anawaza show ya jana yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka tumia tafsidaMtombe vizuri lazima akusalimie. Mana atakuwa anawaza show ya jana yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu ya Shikamoo ilishapitwa na wakati tangu enzi za utumwa zilipoisha!
Shikamoo maana yake “ niko chini ya miguu yako”
Baada ya utumwa kuisha hiyo salamu haina maana tena,
Lakini sasa jamii imekariri , mtu asipofanya hivyo ataonekana hana adabu!
Salamu zinazokubalika ni zile za kiimani matharan;
1. Asalam alyekum
2. Bwana asifiwe
n.k
Salamu nyingine ni za kawaida kutokana na majina
Mfano asubuhi ;
Umeamkaje? Umeshindaje n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikishamvulia mtu nguo asahau hilo neno kutoka kwenye kunywa changu kwenda kwake .....hata awe na umri wa babu yake babu
Sent using Jamii Forums mobile app
Za asubuhi .....akijibu salama imetokaUnamsalimiaje?,au unamtumia meseji?
Sent from Nokia 7 Plus
Muache avue mwenyewe. Halafu Haya mambo ya kuvuana ujue...... Ngoja niishie hapa!Tanzania kumpa MTU salama ya shikamoo ni heshima kubwa sana
Hata watoto wadogo wanafundishwa kutoa salamu ya shikamoo kwa wakubwa..
Jambo la kushangaza sana ni pale hawa wake zetu ambao wengi tumewazidi umri.,na walikuwa wanatoa salamu za kuamkia b4 kuanza mahusiano.
Ila shikamoo uisha faster mkianza kudate,wapo wanaoendeleza ila wachache sana.
Hapa kwangu nimeuliza kwann haunipi salamu yangu jibu nililopewa ci mchezo..
Ananiambia ukitaka nikuamkie acha kunivua........
Wanamama embu tuambieni kwann lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo la kushangaza sana ni pale hawa wake zetu ambao wengi tumewazidi umri.,na walikuwa wanatoa salamu za kuamkia b4 kuanza mahusiano.
Kawaida mwanamume anahitaji utii au heshima kutoka kwa mwanamke. Na mwanamke anahitaji upendo kutoka kwa mwanamume. Hivyo mpe heshima yake mumeo.Hahahah Mr.wangu nae huwa ananiambia nimwamkieee jmn woiiiiiiiii shikamoo za wanae zinatosha[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hya ss tuambie wewe maana ya hyo shikamoo!!