Recent content by CtVKiLaZA

  1. CtVKiLaZA

    Bodi ya mikopo

    Tafta sehem nyingne pale wenyewe wameshachukua nafasi zao.
  2. CtVKiLaZA

    Anayefahamu kuhusu NBC mobile?

    NBC bado hakuna hiyo huduma. Ila wako kwenye process, na ilitakiwa izinduliwe kabla ya NBC Mastercard. Kuna mambo hayajakaa sawa.
  3. CtVKiLaZA

    Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

    Huyo ana tamaa, mwambie ukweli kuwa hiyo tabia huipendi. Onyesha msimamo wako. Kama utaendelea kumuchekea atakufanya duka la kuanua na kuondoka.
  4. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    ya ng'ombe, kuku etc
  5. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    kama ni hivyo bora nisile nyama maisha.
  6. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    asante
  7. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    hapa home ndo mboga ya kila siku. Na nimeshajaribu mara nyingi nimeshidwa.
  8. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    ukienda ugenini ni shida sana. Si unajua tena mgeni umeandaliwa KUKU au MBUZI. Then unasema situmii. Daah unawapa hard time wenjeji
  9. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    mmh! Kila baada ya 3mnthz huwa nameza dawa ya Minyioo.
  10. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    maji huwa nakunywa mara nyingi lakn hayajanisaidia.
  11. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    nimeshatembelea hospital nyingi lakn wap.
  12. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    u-ras mpaka kwenye maziwa na mayai??
  13. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    nimeshapewa dawa nyng lakn bado. Labda niende kwa Sangoma.
  14. CtVKiLaZA

    Natamani kula Nyama

    Ni muda sasa na tatizo limeanza kuwa sugu. Nikila nyama, Samaki, mayai au maziwa tumbo linanyonga sana. Mpaka inabidi nivue shati nilale kwenye tiles au sakafu ya baridi. Mpaka nikitapika ndo najisikia vizuri.
Back
Top Bottom