Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

Huyo ana tamaa, mwambie ukweli kuwa hiyo tabia huipendi. Onyesha msimamo wako. Kama utaendelea kumuchekea atakufanya duka la kuanua na kuondoka.
 
Watu tulilipishwa accomodation na stationary fees na wakasepa ,na tupo kimya.nimegundua ukipenda wanawake wengi ni shule tosha hakuna atakayekusumbua kishambashamba coz unausoma mchezo vizuri.

teh teh teh,mkuu umeniacha hoi,si ungewadai pesa zako au?
 
teh teh teh,mkuu umeniacha hoi,si ungewadai pesa zako au?

mkuu uzuri tulikubaliana kuwa kama utasepa unarudisha shekeli yote, mbona nlienda kwa wazazi wake nkaampa receipt wakanrudishia changu nkawaambia mm mchaga kila hela inayotoka ina malengo na kama hayakutimia inarudi yote.
 
Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake. Tulikubaliana baada ya wiki mmoja airudishe, lakini cha kushangaza kila ninapomuomba hiyo cm hataki kunipa na muda huo huo anaibua ugomvi. Bt nashindwa kumuelewa kabisa kwani kitu chochote anachochukua huwa harudishi nikimwambia anaibua ugomvi. Namthamini sana, na ninajitahidi kumpa kilicho ndani ya uwezo wangu lakini kwa anayonifanyia nashindwa kuelewa lengo lake kwangu. Wakati mwingine ninafikiri kama haniheshimu na mengine mengi. Je hebu toeni mchango wenu wadau kuhusu hili.
Unaomba ushauri upi wa kuchulua vitu vizuri au wa mengine meng? Sasa tutakushauri vipi kwa hayo mengine mengi ambayo hukuyataja? Ok kwa kuchukua vitu vyako vizuri hiyo sio tabu unataka akachukue vya nani? ukimkuta na simu nzuri kanunuliwa utafurahi? na kwanini wewe ndo unataka vitu vizuri? wanawake uwaelewe wanataka vitu vizuri wewe unaweza kuwa na sim ya kawaida tu lakini wao kuonekana ni muhimu kwao. Kulalamika kwako malakwamala ndo kunapelekea akudharau.Mpambe mpenzio vinginevyo tafta cheap girls(call girls) ila hutapata heshima.
 
Anakuona zoba. Nina wasiwasi kama ana upendo wa dhati kwako. Inawezekana tangu ulipomtongoza ulimzoesha kumuacha afanye anavyotaka. Huyo hutaweza kuishi naye kwa amani; chagua moja.
 
mwanamke toka mwanzo wa mahusiano ukimuingia kimaterial atakupenda ki material hivo hivo
 
Huyo mpenzi wako anatawaliwa na tamaa...na hiyo tabia kama imeanza siku nyingi then uliilea na sasa imekomaa. Pengine anakupenda sana tu ila tabia ni kama ngozi usipoisafisha ndo mambo ya ukurutu yanapohusika...Cha msingi zungumza nae,umueleze jinsi gani unakerekwa na tabia hiyo ya kuchukua kila akionacho kwako....
 
Unataka kwenda peponi bila kufa ? Starehe gharama babaa! We ung'wenye tu! mtotoz kuchukua huo mchina tena uliofungwa ruberband mashtaka Jf ! Je? Sio tuliochukuliwa Corolla na tumekauka! Utatuweka fungu gani ?

hahahahahahaha! Hujatulia wewe.
 
Jibu la Pili :juggle::juggle::A S 103::A S 103:

Jibu la kwanza :A S-heart-2:
 
huyo gf wako ni omba omba. hii ni tabia na haibadiliki. watu wa aina hii hawana aibu ya kuomba kitu na yote inatokana na tamaa. usishangae ukisikia kaazima nguo ya rafiki yake akavaa. watu wa aina hii ni wengi mno wanawake kwa wanaume. kazi unayo wewe, kuishi na hiyo tabia maana as far as I know she wont change au umuache kama unakukera sana. kwa kukufahamisha, niiliwahi kumwacha bf wangu kwa sababu kama hiyo, kuomba kila anachoona, nilijaribu kuongea nae, he never changed, kabla hatujafika mbali na kutiana hasara nikabwaga manyanga.
 
Ana tamaa huyo dogo kimbia fasta unaonekana form six tosamaganga umekutana na mzoefu wa magogoni
 
mie nahonga vigoda malum, na wananchakachua vilevile na silalamiki

mwanamme mtafutaji hahesabu alivyopoteza
utakula vya tandale hadi utie akili kama wataka bure.
 
Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake. Tulikubaliana baada ya wiki mmoja airudishe, lakini cha kushangaza kila ninapomuomba hiyo cm hataki kunipa na muda huo huo anaibua ugomvi. Bt nashindwa kumuelewa kabisa kwani kitu chochote anachochukua huwa harudishi nikimwambia anaibua ugomvi. Namthamini sana, na ninajitahidi kumpa kilicho ndani ya uwezo wangu lakini kwa anayonifanyia nashindwa kuelewa lengo lake kwangu. Wakati mwingine ninafikiri kama haniheshimu na mengine mengi. Je hebu toeni mchango wenu wadau kuhusu hili.

pole sana cha msingi kaa naye then muulize kwa nini anapenda kukufanyia hivyo. au ni yatima nini
 
unataka kwenda peponi bila kufa ? Starehe gharama babaa! We ung'wenye tu! Mtotoz kuchukua huo mchina tena uliofungwa ruberband mashtaka jf ! Je? Sio tuliochukuliwa corolla na tumekauka! Utatuweka fungu gani ?


kula tano mkuu wewe ni noma hili jibu limenifurahisha
 
Wakati mwingine uko busy kusaka pesa hutimizi vizuri wajibu wako, kwa hiyo anaona njia pekee ya kukushtua/kukuamsha ni kufanya hivyo. Lakini wewe badala ya kusoma plate namba unaona anakuzengua. Piga game za maana, sasa siyo upige hadi wewe mwenyewe ushindwe hata kuzisaka ngawira! Kiufupi Mridhishe mambo fulani.
 
Uckubali kila anachoomba wakati mwingine mwambie kuwa si kila unachoomba unapata kuna kukataliwa ombi. Lakini inavoonekana ulimzoeza hivo kimayaimayai sasa uitaka kumbadilisha ghafla inaweza kukugharimu! Tafuta ck moja kaa nae sehemu tulivu zungumza nae Mwambie hupendezwi na tabia ya yeye kutaka kila kituhako kizuri na kuking'ang'ania yaani kujihalalishia. Asipo kuelewa achana nae japo ni uamzi mgumu na unaoweza kukuumiza badala ya kukupa faraja.
 
Back
Top Bottom