Bodi ya mikopo

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
jamani mwenye taarifa atujuze kuhusu bodi ya mikopo washaita watu kwa ajili ya inetrview au wanaita lini kwa anayejua naomba kuwasilisha
 
Kazi za siku hizi zilivyo za kujuana unaweza kuta watu washaanza kazi
 
zile nafasi zilikuwa na watu ni hivi kulikuwa na watu wanafanya kama casual labour then ili waajiriwe ilitakiwa nafasi zitangazwe so walifuata utaratibu huo wakutangaza ila walioajiriwa ndo hao waliokuwa wanafanya kazi humo.pole sana ndiyo tanzania yetu hiyo
 
Back
Top Bottom