tume inachemka inaita watu wengi sana, nibora kushortlist hata watu 10 kwa post moja, mwezi machi walifanya intaviu watu 56 kwa post moja, hata kama walichemka 50 naamini 6 walifanya vizuri cha ajabu wakatangaza nafasi nyingine tena, sio siri inauzi sana kwani wasomi wananyanyaswa,wakati wao...