NIDA nafasi za Kazi kwa Vijana na Volunteers kuondoa Foleni ya Registration | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIDA nafasi za Kazi kwa Vijana na Volunteers kuondoa Foleni ya Registration

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Inanambo, Jul 26, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  NIDA pamoja na NIA yenu nzuri ya kuwapatia WaTZ vitambulisho naona hili zoezi la uandikishaji linawakera watu kwa kuwa wanapanga foleni ndefu tena juani kila siku wakikimbizana na deadline. zile fomu hazina ugumu wa Kivile wa kutoweza kujazwa na ofisa anayejua kuandika vizuri na siyo mwandiko wa kuku hata kama hakupata semina yenu. Ili kuondoa foleni na malalamiko wapeni Watendaji wa mtaa ruhusa ya kurecruit watu wenye uwezo wa kuandika vizuri kwa hizi siku zilizobaki. Ni bora hata mkatafuta shule ya Msingi au sekondari penye nafasi na meza ili muweze kumaliza zoezi hili kwa ufanisi.Mkijidai kazi mnaweza ninyi tu mtawafanya watu wengi wasijisajili. Kila ofisi ya serikali za mitaa ni foleni ndefu na malalamiko kibao. Mkija mara mnakuja na ofisa mmoja au wawili ambao hawakidhi haja. Toeni nafasi kama N B S walivyofanya kama mna nia kweli ya kuwapa WaTz Vitambulisho.
   
 2. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hilo neno naamini na wao wako hapa wamekusikia
   
 3. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  si waruhusu online registration?
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inategemea na eneo huku mbez beach makonde kuna vijana walopewa tenda wanalipwa ten thou per day.
   
 5. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  bongo hatuta fika kila kitu siasa! apo watasema umetumwa na chadema
   
 6. M

  Malova JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ni wazo zuri sana mtoa mada
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ushauri mzr, wajipange vyema, wanachangamoto nyingi zinazo wakabili.
   
 8. L

  Luushu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Uko sawa kabisa mtoa mada foleni ina kera
   
 9. m

  mwaqsa Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ayo maneno tu,bila kitu hupati kitu,hi ndo bongo dsm
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ili mtumie ID zenu za JF
   
 11. c

  cslab Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tatizo hili linasababishwa na wananchi kwa asilimia kubwa, siku za mwanzoni walijitokeza wachache! Nakumbuka hata zoezi la usajili wa line za simu ilikua hivi, inabidi tubadilike.
   
 12. m

  mishmimi Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hilo Nida walikuwa na mahesabu mabaya, next time yapasa wajipange kama fursa zingine zitatokea kuhusiana na jamii.Nachelea kusema kwamba hii ni kwa mkoa wa dsm tu. je mikoa hiyo iliyo baki jee???????????????wachukue hatua mapema.
   
 13. m

  mishmimi Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :nono:
   
 14. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Sensa bado itatoa bias data!Matokeo yke ndo wrong plans frm wrong data
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,007
  Trophy Points: 280
  Zoezi ni full mashaka, nasikia hata hao makarani wenyewe wa NIDA wanafanya kazi bila mkataba. Kuna kila dalili za kuchakachuana kimalipo kwani nimeshasikia minong'ono wengine wakisema wanalipwa kumi japo ilipangwa iwe 15
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  umeangalia kwa darubini au kama wabunge?
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  i like ur signature
   
Loading...