Recent content by Crypto1987

  1. Crypto1987

    Siku nilipoamua kuacha bangi rasmi

    Alikuwekea na unga Mzee, bangi haipo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Crypto1987

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aagiza DED Mkalama achunguzwe

    Wakurugenzi wengi wanapanga bajeti fake. Waziri MKUU karibu na kwetu
  3. Crypto1987

    Walimu wahamishwa na kutelekezwa

    WALIMU WATELEKEZWA WILAYA YA KWIMBA. Tunaomba idara zinazohusika ziwasaidie walimu Hawa. Ni uhamisho ulotolewa kwa walimu wengi ndani ya wilaya hii ya KWIMBA ILIYOPO MKOA WA MWANZA. Uhamisho umetolewa siku nyingi Sana 25/03/2019. Lakini cha ajabu walimu Hawa wametelekezwa, Hawajapelekwa...
  4. Crypto1987

    If NASA and JPL are reporting a 96% chance of a 200m asteroid hitting Earth in 2027, why isn't everyone alarmed? Will the Earth end in 2027?

    hii inayosemwa imepita anga la Jupiter. IPO Kati ya Dunia na Mars, na inaielekea dunia, any time tunalipuliwa Na haya mambo yatatokea siku zijazo, japo kuna watu wanaona ni vitu via kufikirika
  5. Crypto1987

    Part 2: Mawaziri wadaiwa kuwa kwenye Payroll ya Misri

    Umeongea points. But kuhusu lowasa unataka kumpigia kampeni au? Wataalamu wetu wa kilimo walioenda Israel, wanatakiwa kulindwa maana kuna hatari ya kulengwa.
  6. Crypto1987

    Uhuru walioupata South Afrika, Je ni uhuru wa bendera?.

    Yes, hawajapata uhuru. Siku moja watarudi kuleeee walikotoka. Siku wakijitambua na kuanza kudai chao kwa wazungu, mambo yatarudi Kama mwanzo. Na Safari hii watapigana wenyewe,
  7. Crypto1987

    Watumishi wa umma wapoteza morali ya kazi

    Wewe ni mnoko aisee, lete pumba zako sio kuleta siasa
  8. Crypto1987

    Watumishi wa umma wapoteza morali ya kazi

    Acha uongo wako, wakulima ni maskini?
  9. Crypto1987

    Watumishi wa umma wapoteza morali ya kazi

    Utumishi wa Leo ni wa kisenge, Watu wanaambiwa usimhamishe mtumishi bila kumlipa ila majamaa bado yanahamisha tu na hayalipi, na wanakulazimisha uende kazini, Sasa unajiuliza hawa jamaa ni wasenge kiasi gani, Madaraja hawapandishi watumishi, Ukiongea unaonekana weww ni mpinzani. Huu ni...
  10. Crypto1987

    Korogwe: Jamaa anasa akichepuka na mke wa mtu kinyume na maumbile. Mgoni adai hawataachiana mpaka apewe Milioni 8 !

    Huku wanaotembea na wake za watu wanachomewa nyumba zao moto, Kuna watu wanaitwa wagindu, wanaolala na mwanamke usiku bila mke kujua, wanashusha mwanaume chini, then wanasakata ngoma, Huku ni mapanga tu na kuchoma nyumba yake
  11. Crypto1987

    Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

    Tukifanikiwa kutengeneza vifaa vya kisasa ambayo vinaenda speed ya ungo wa mchawi, basi Dunia nzima itatuogopa, Maana hata wazungu na kujitahidi kwao kutengeneza ndege na rocket, lakini bado hawajafika kwa mchawi
  12. Crypto1987

    Uhamisho wa walimu umefunguliwa?

    Sizungumzii, mtu kuomba, Nazubgumzia uhamisho kwa mujibu wa sheria,
Back
Top Bottom