Uhuru walioupata South Afrika, Je ni uhuru wa bendera?.

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
Habari zenu ndugu zangu watanzania.

Kutokana na kwamba asilimia zaidi ya themanini ya ardhi na uchumi wa nchi Afrika ya kusini bado unashikiliwa na watu weupe.

Je tunaweza kusema kwamba nchii hii bado haijapata uhuru kamili kama tuliopata sisi Tanzania.

Na je nini hasa kinaweza kufanyika ili kuwasaidia kupata Uhuru kamili?
 
Ni kucommit suicide tu. Kwasababu hakuna chochote kitawasaidia ispokua kufanya hivyo kwasababu walizaliwa waafrika watu weusi you cant change genetics its better to commit suicide by choice/ voluntarily or by force ili ukifa uanze upya na genes za maana ama uwe reincarnated uwe fisi ama qengeh bora hivyo kuliko kuwa mtu mweusi
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]What is bad with black race mkuu?
 
Duh aiseee.
Ni kucommit suicide tu. Kwasababu hakuna chochote kitawasaidia ispokua kufanya hivyo kwasababu walizaliwa waafrika watu weusi you cant change genetics its better to commit suicide by choice/ voluntarily or by force ili ukifa uanze upya na genes za maana ama uwe reincarnated uwe fisi ama qengeh bora hivyo kuliko kuwa mtu mweusi
 
Habari zenu ndugu zangu watanzania.

Kutokana na kwamba asilimia zaidi ya themanini ya ardhi na uchumi wa nchi Afrika ya kusini bado unashikiliwa na watu weupe.

Je tunaweza kusema kwamba nchii hii bado haijapata uhuru kamili kama tuliopata sisi Tanzania.

Na je nini hasa kinaweza kufanyika ili kuwasaidia kupata Uhuru kamili?
Yes, hawajapata uhuru. Siku moja watarudi kuleeee walikotoka. Siku wakijitambua na kuanza kudai chao kwa wazungu, mambo yatarudi Kama mwanzo.

Na Safari hii watapigana wenyewe,
 
Back
Top Bottom