Wanafunzi wa zamani tulikuwa na adabu na heshima kwa walimu wetu lakini cyo vitoto vya kizazi hiki cha nyoka. Usipotumia fimbo atakupanda mgongoni na kukunyea. Eti unafight unasoma vitabu unasummarize notes tena unaandika mwenyewe ubaoni ili aandike kitu kilichosahihi lakn cha ajabu yeye anakuwa...
Ningekuwa namfundisha mtoto kwenye shule ninayofundisha kama ni kilaza hakika ningekuita ofsini kukupa vidonge vyako na ikiwezekana ukamfundishe nyumbani kwako akishakuelewa ndio umrudishe shuleni akiwa bright.
Kila amtukanaye mwalimu ana mapepo. Hakuna mwalim kilaza ndio maana alisomea kazi hiyo na akafaulu. Pia hakuna mwalm wa sec ambaye alifeli ndio akaenda kusomea ualimu, kuna walimu wana Division I zao wamesomea ualimu leo mnasema ni vilaza hizo ni kauli za kipumbavu......samahani kwa hili cyo...
Walimu ambao hamjaajiriwa changamkieni hiyo fursa maana ikibuma mtaajiriwa hapahapa tz. Ndio habari ya mjini. Hata kama hutaki kwenda Rwanda apply tu lolote laweza tokea. Usipopata lazima utaajiriwa hapa. Maana sera ya sasa unaapply nje kwanza ndio unajiriwa home.
Wewe ni agent wa ibilisi na utakuwa unafuga manyoka.
Soma UFUNUO WA YOHANA 12:7-17
Vita kati ya Malaika Mikael na malaika wengine dhidi ya yule joka mkubwa joka wa zamani.
Nyoka cyo kiumbe rafik hata kidogo maana atakugonga kisigino nawe utamponda kichwa. Kwa hiyo unataka kusema kwamba...
Haijalishi mkuu hayo ni maelewano ya wapendanao. Wengine hawana utaalamu na size. ukimnunulia wewe yaweza kuwa oversize, so mwenz wako anaweza kumpatia pesa akanunue ili amletee aitunze mwanaume hadi cku ya kumvalisha, au wanaweza kwenda wote wakanunua na mwanaume akaitunza hadi ck ya...
Waziri wa sanaaa na michezo yuko wapi na anafanya nin hadi RC anatoa maamuz kw wizara isiyomhusu? Yeye ilipaswa kupeleka taarifa hizo kwa waziri mwenye dhamana then ifanyiwe kazi. TZ ni shida sana bado hatujafika safari kwanza ndio inaanza.
Hii ni hatari sana kwa taifa na matukio haya yanaliaibisha taifa sana habari zinakanganya mara raia kapigwa risasi na askari, mara askari wapigwa risasi na majambazi, mara majambazi yapigwa risasi na polisi cjui nchi hii tunakwenda wapi yaani ni kama visasi tu. Mungu atusaidie sana jaman...
Pole sana mkuu. Usihofu ndg yangu hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu na mkono wake siyo mfupi hata ushindwe kugusa. Usijiulize maswali mengi. Kama yuko hospital alika mtumishi mwenye upako wa kutosha na mwenye macho ya rohoni Bwana atamtumia na atamwombea Bwana atatenda. Hata kama hujaokoka au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.