Recent content by Creezle

  1. Creezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

    Hichi kipindi ndo ninakipitia mpka nakua naona sina mtu wa karibu wife ana mimba mambo hayaendi yaani kupitia jf nakuona siko mwenyewe ninae pitia kumbe wako walio wahi pitia nakaza moyo nitashinda hii vita kwa uwezo wa Mungu
  2. Creezle

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mimi pia ni mtu hua na sali sana nilihamia maeneo kulkua na nguvu za giza sana nikawa napata shida sana kiroho nikilala na kulkua na mapaka mengi kila siku hapo nje yanalia sometimes kama watoto...mpka majirani wakawa wanaogopa uchawi wa hapo mimi nikawambia nitawaondoa....nikaanza formula na...
  3. Creezle

    JamiiForums Tanzania Wazo juu ya kuwa mjasiriamali

    Kwanini?
  4. Creezle

    JamiiForums Tanzania Wazo juu ya kuwa mjasiriamali

    Wewe na nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Creezle

    JamiiForums Tanzania Wazo juu ya kuwa mjasiriamali

    Sijakulewa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Creezle

    JamiiForums Tanzania Wazo juu ya kuwa mjasiriamali

    Wana ndugu napenda niwashirikishe wazo langu linalo tatiza ufahamu wangu....ni biashara ndgo ya namna gani naweza fanya kwa mtaji wa makadirio ya laki5 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Creezle

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    We uko mji gani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Creezle

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Nikweli mtu wa moshi na mwarusha wote ni ktu kimoja so ameshindwa jua hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Creezle

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Maneno ya mtu....mmoja kutokana na maoni yake....sio upuuzi ila ni maoni yake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Creezle

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Yapo....ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Creezle

    JamiiForums Tanzania Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Wewe hujajua ulifikiri magorofa tu ndo uzuri wa Arusha au sehemu yoyote....? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Creezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JAMAN HIVI MKE ANAVYO KUWA NA MIMBA

    Jitahidi kua nae karibu ndo walivyo hawa viumbe...ila usimwendekeze sometime anapaswa kujua na wwe hupendezwi na hivo vtuko.....na uwe makini nae tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Creezle

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Christmas na tarehe ya kuzaliwa Kristo

    Safi sana yesu biblia inatutaka tuikumbuke siku aliyotuondokea hapa ulimwenguni hii kristmasi nimeikuta ila kila nafsi ina haki ya kujiamulia mema na mabaya
  14. Creezle

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufunga ndoa kabla ya kufanya ngono na mpenzi wako - ni sahihi?

    Babu adam na hawa uliwafungisha ndoa nni
  15. Creezle

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kufanya biashara ya kuuza Fresh Juice kwenye sherehe mbalimbali?

    Goood idea chief nawaza fanya ivo
Back
Top Bottom