Kwann nisiweze kila kitu kinaanzia kichwani kama unaamini huwezi basi hutaweza.
Nchi za Africa haziendelei kwasababu kama hizi vijana muda wote wanawaza Sex, pombe, kamari, Nyama za bure na kupata mafanikio bila kufanya kazi
Kwahyo hukufanya sex kwasababu uliamua na kuweka nadhiri
Au hukufanya sex kwasababu una madeni mji mzima, ulikuwa na msongo wa mawazo au kwasababu mke alikukimbia hivyo sex ya bure haikuwepo
Hii ni kwasababu ukioa mwanamke mwenye watoto kuanzia 2 basi unajua kabisa toka mwanzo kwamba umeoa mke wa mtu hivyo unaishi kitaalamu.
Na kama mmewe amefariki basi unakuwa una uhakika zaidi maana anakuwa na heshima sana pia anajua nini maisha yanataka
ILA
Hawa wenye mtoto mmoja huwa wanahisi...
Wiki hii kumefanyika mashindano ya formula 1 hapa Monaco France yaliyohudhuriwa na matajiri wengi toka pande zote za dunia.
Haya matajiri wetu wa kibongo mbona siwaoni huku?, maana mmezoea kuviba club za bongo na kuletewa martell au Henesy na vibango vipi huku hamvimbi?
Kutwa kujifanya wala...
Habari wana jamii.
Nimeanza na hilo swali kwasababu ya kisa ambacho nahitaji kumpa mtu ushauri
Je, upi ni mtizamo wako kuhusu ndoa?
1. Uoe au uolewe kwaajili ya kupenda/kupendwa au
2. Uoe au uolewe kwaajili ya connection, future na fursa zinazofuatia
Hapa naomba nieleze kidogo
Ki historia...
Habari wanajamii
Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha?
Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji nisafishe choo na nijaze maji tena kwenye ndoo kabla ya kujisaidia hata kama hotel hiyo ina uhakika...
Siku kama ya Leo mwaka 1911 huko London yalizuka mapigano baina ya polisi na wahamiaji wa latrivia baada ya kiongozi we kundi LA wezi kuuwawa baada ya kuiba katka maduka ya Vito vya thamani huko Houndsditch December 1910.ni katika mapigano hayo police waliomba usaidizi wa jeshi lao LA nchi.ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.