Kina dada wa mjini shikamooni

Kina dada wa mjini shikamooni

Mkuu ukiwa busy sana na wanawake, ww kuendelea ni ngumu hata km unapata milioni 2 km mshahara kwa mwezi. Unaweza kujikuta mpaka unastafu hauna hata kiwanja cha kujenga.
Kuwa na mwanamke angalau mwenye kazi, hao wengine wa papuchi ndio mtaji wake, utalia.
Wanachuna balaa.
Tumia akili tu mr, umpe hela na bado anataka umkojoze lazima ukonde.
 
Promo at work tutakuja tukusaidie zilizobaki
 
Mkuu sikuhiz wadada wazur wenye wesere,,modal wanaongezeka sana huwa naishiaga kuwatazama tyu maana kila kona unakutana na mzur zaid tafta mmoja atakaye kufaa kwa matumiz na nenda kapange ujue hata kulipia umeme kukoje inaweza kukupa akil ya kusave pesa
 
Ur thinking loud broo no one hears u just make ur heart hear ur mourning[emoji22] [emoji30] [emoji30] [emoji22]
 
[emoji1]
 

Attachments

  • 1472309518744.jpg
    1472309518744.jpg
    30.6 KB · Views: 36
Ukiwa sober ongea vizuri na kichwa chako cha chini ama sivyo utamaliza Maneno kulaumu kina dada wakati adui yako unaye kwenye suruali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili ikikopa .. Mwili utalipa...
Jiondoe ktk fikra za kujiendekeza...
 
Watuhurumie ata sisi walala-hoi wenzao basi, sio wanatu-treat sawa na wakurugenzi jaman, tunaumizana namna hii!
Raha anayopata mkurugenzi na ww mlalahoi ni sawa,so malipo lazima yalingane na huduma unayopewa...
 
Acha uboya, kama expenditure zimezidi ongeza income. Usitegee wadada washuke bei ndo uwale, ni sawa na kungojea mlima Kilimanjaro upungue urefu ndo uupande. Kinachotakiwa ni kuongeza akili uupande vipi huo mlima. Kwa hio kinachotakiwa ni kuongeza budget ya matanuziiii

!
!
mamaa makavu live. Dah umepotea mno.
 
Back
Top Bottom