Recent content by Crazy_Eight

  1. Crazy_Eight

    JamiiForums Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    Sidhani kama bila hii mada ya maji tungejua kama watu mna magari
  2. Crazy_Eight

    JamiiForums Yanga wawe na huruma waisadie Simba

    Wataanzia nusu fainali. Yanga ataanza na Azam halafu 5imba na Zingida BS. Zaza kwa moto wa zingida huyu Zimba ataweza tamba kweli, au atajivunja azifike final
  3. Crazy_Eight

    JamiiForums Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

    Kwa moto wa Singida leo, ni halali makolo kutemewa kohozi
  4. Crazy_Eight

    JamiiForums GE2025 Nicholaus Ngassa autaka tena ubunge jimbo la Igunga

    Kuna nini cha special hadi areportiwe jf?
  5. Crazy_Eight

    JamiiForums Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Wewe nawewe kwa akili yako umeona kuna takwimu hapo? Au ni maneno matupu
  6. Crazy_Eight

    JamiiForums Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

    Huyu hajakutana na micharazo ya maana.. anatakiwa achokonolewe na fimboyaukwaju hadi afanye Confession kuhusu EvilSpirit aliyo nayo
  7. Crazy_Eight

    JamiiForums Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

    Nilijua nimekasikia peke yangu,
  8. Crazy_Eight

    JamiiForums Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    Msingi wa swali ndio upo hapo mkuu, kwanini asicontrol hayo?
  9. Crazy_Eight

    JamiiForums Kwa miaka karibu 30 nasikiliza wimbo Nadina wa Mbilia Beli ila sielewi kiswahili chake

    Sijabahatika kumfuatilua kiundani mkuu, ila kuna wimbo yupo na madilu system unaitwa magalie kama sijasahau, nilivutiwa na taste yake kwenye music
  10. Crazy_Eight

    JamiiForums Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

    Kuhusu watoto wanaozaliwa na ulemavu, ajali na matetemeko ya ardhi vyenyewe unavielezeaje mkuu. Sijalenga kukosoa au kupinga uwepo wa mwenyezi, ila ni vitu vinavyonifikirisha tu, ningetamani kujifunza
Back
Top Bottom