Recent content by Crazy R

  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Nataka wa mtaa huu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu inakata stimu kama harufu Nyapu

    Cjakuelewa "kivumbasi" ndo nini?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu inakata stimu kama harufu Nyapu

    Nilikutana na nyapu moja Shinyanga mwaka Jana nilijuta.Ile harufu nilidumu nayo kwa muda wa ck 2 yan nilioga na kupaka mafuta ya kila aina ila harufu ya nyapu haikukata.Jaman kuna baadhi ya wanawake wanananuka nyapu balaaa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Salam aleikum ndugu na jamaa.Namatumain makubwa kuwa mko salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Moja moja kwa moja nijikite kwenye lengo la chapisho hili.Mimi ni kijana wa Kiume umri ni miaka 27 mweusi kiasi natafuta rafiki wa kike awe mmama au mdada mwenye umri kuanzia miaka 30 na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

    Kwnn tusiweke watu wasijulikana tushinde hii game
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri mapenzi yanenishinda!

    Binafsi sina muda wa mapenz zaidi ya kugegeda tuu yoyote atakaekaaa mbele yangu.Ukimuuliza mwanamke atakwambia wanaume wanasumbua na ukimuuliza mwanaume atakwambia wanawake wa sasa wanasumbua so nilishindwa kuelewa which is which.Niliachana na mapenz wala sina muda nayo wala siyafikiliii...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua fundi mzuri sana wa Simu jijini Mwanza!

    Yes
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi

    Naunga mkono hoja
  9. C

    JamiiForums Tanzania Anayejua fundi mzuri sana wa Simu jijini Mwanza!

    Nenda buzuruga stand kamuulizie Jamaa mmoja anaitwa mtumishi huyu Jamaa ndo huwa ananirekebishia cm yng
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimsaidieje???

    Sawa
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimsaidieje???

    Sawa mkuu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimsaidieje???

    Namzid kiumri
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimsaidieje???

    Nimepoke ushauri wako mkuuu pia nimefurahi kwa kunikosoa na kunirekebisha asante
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimsaidieje???

    Wakuuu hbr za usiku huu polen na uchovu wa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki.Moja kwa moja pasipo kupoteza muda nijikite katika mada husika. Ni kwamba nina mdogo wangu jinsia KE mtoto wa ndugu yangu.Huyu binti baada ya kuhitimu masomo yake ya O level mwaka 2016 na kufanikiwa kupata...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo Unayumba

    Ukwli ni kwamba mazingira ya utendaji kazi kwa sasa ni magumu tutamlaumu bure...
Back
Top Bottom