Naombeni ushauri mapenzi yanenishinda!

Naombeni ushauri mapenzi yanenishinda!

Mapenzi na matumizi makubwa ni marafiki sana,na muda wote wanapenda kutembea pamoja.Endelea kupenda tu mkuu
 
kama hutaki kutoa vyako we ni mbinafsi na mchoyo.Unataka upewe papuchi bila kutoa chochote.Kwenye Mapenzi hakuna mimi kuna sisi.Piga Punyeto na ufanye ishu nyingine kama mapenzi yamekushinda.
 
Umewaza vyema mkuu tafta pesa hao watajileta wenyew
 
Iko hiviiii, ukiwa upo single ukiwaona walio kwenye mahusiano unaeza dhani wanafrahia mapenzi yao, maana mda wote au wakati mwingine mtu aliye single huwa anapata abrupt frustrations with no reasonable fact(s) yaan hasira za mara kwa mara ....,

ukiwa upo kwenye mahusiano unahisi kua single ndilo suruhisho la kurudisha fraha yako iliyo potea kitambo, unakua ukidhani walioko single wana enjoy sana kwa sababu hawana expenditure za aina yoyte hawana cha kupoteza. yaan ni full complications na maisha yanaendatu.
 
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji
Binafsi sina muda wa mapenz zaidi ya kugegeda tuu yoyote atakaekaaa mbele yangu.Ukimuuliza mwanamke atakwambia wanaume wanasumbua na ukimuuliza mwanaume atakwambia wanawake wa sasa wanasumbua so nilishindwa kuelewa which is which.Niliachana na mapenz wala sina muda nayo wala siyafikiliii nachowaza ni kula papuchi yoyote itakayokuja mbele yangu....Niko free nafanya mambo yangu sisumbuliwi na mapenz tena Nina amani ya kutosha sana moyoni mwangu.
 
kama hutaki kutoa vyako we ni mbinafsi na mchoyo.Unataka upewe papuchi bila kutoa chochote.Kwenye Mapenzi hakuna mimi kuna sisi.Piga Punyeto na ufanye ishu nyingine kama mapenzi yamekushinda.
Hapa umeongea pointi
 
Sema hapo ulipoandika asilimia kubwa ni malaya na wadangaji ndipo ulipoharibu maana ya thread nzima.
 
Muombe Mungu akujaalie upate Mwenza mwema, ukimpata funga nae ndoa awe mkeo. Stress zitaisha
 
Wasalaam
Wakuu nimekaa na kutafakari yani naona kama vile mapenzi ni kupoteza muda tu kwa vitu vya kipuuzi,
Full of stress
Kupoteza hela
Kupoteza muda
Kukosa amani
Yaani mimi nahisi mapenzi kwangu umekua ni upuuzi mbaya zaidi siku hizi madada mengi ni majinga, ukilipenda lenyewe linajua cha kukupa ni sex tu halina jipya tena hata ushauri tu halina,
Unajikuta mwanaume ndio unaloose vitu vingi kwaajiri ya mtu asiyejielewa
Jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi ili nisahau kabisa kuhusu ishu za mapenzi,
Waschana siku hizi hamna asilimia kubwa ni vimalaya tu na vidangaji
mkuu ingependeza kama ungeoa kabisa
 
Mbona Ni Simple tu!!

Mkuu Hebu Kata Kikojoleo Chako ili akina chausiku wasikuzingue tena.
 
Back
Top Bottom