Recent content by Craven Cottage

  1. Craven Cottage

    Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

    Naweka kambi hapa... Maana nilinunua hilo Godoro wanaita Dodoma.. liko na features zote wazosema tukague kujua kama ni halis au lah. Cha ajabu lina Miaka Miwili ukilala linabonyea bonye hali inayopelekea kuumwa sana Mgongo
  2. Craven Cottage

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Waajir wamelala saiv Jenipha.... si walinzi wao ndio tuko macho mda huu. Subir waamke kazi utapata
  3. Craven Cottage

    Kama umekaa na namba ya simu kwa miaka 10 na kuendelea, nakupongeza sana!

    Lain yangu ya Voda niliokota shambani polin polin 2007, Bila shaka wengi mnafaham enzi hizo hakukuwa na mambo ya kusajili line wala nin. Sasa sikuwa na sim na pale Nyumban wavulana tulikuw watatu tuonaofafa umri. Tukapewa sim na Sisiter yetu mkubwa aliyekuwa anaondoka kwenda Daslam kwa ajil ya...
  4. Craven Cottage

    Sekretarieti ya Ajira hiki nini toeni majina ualimu, tusailiwe watu kukalime tumbaku tumeshachoka kusubilia.

    Kipindi cha kuandaa Mabed hiki.... Komaa kuandaa mabed maana mwakan pesa ya Tumbaku ni uhakika. Ukikaa vzur pesa utakayo pata mwakan kwenye tumbaku kwenye Ualim unaipata kwa miaka si chini ya 10. Kazi kwako
  5. Craven Cottage

    Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Lakin sambamba na hilo Wanafunzi wa sasa mna kauzembe sana. Vyuo vingi vinatoa barua za Field Miez kadhaa kabla ya Field ili kuwapa nafas wanafunzi kutuma sehem mbalimbali Lakin wengi hamfanyi hivyo mnakaa nazo magetoni wakat ungeweza kuscan na kutumtumia mtu hata kama yuko mkoa wa mbali...
  6. Craven Cottage

    Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

    Mbona wakati wanajazana mi sikuwepo... Irudiwe irudiwe nipate kaz mi jobless. Anyway huwa nafikir kma wew, siku hizi kuna vichama chama ving ambavyo havina msingi bahat mbaya vichama hiv au viumoja hiv vimeingia mpaka kwenye nyumba za ibada. Utakuta watu wa mkoa X wako busy at utasikia umoja...
  7. Craven Cottage

    Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Lakin bado nina kigugumiz juu ya usaili. Kuna mtu kamaliza 2015 na hata sehem ya kujitolea kufundishq alikosa akaamuq kujikita kwenye bodaboda, Leo unatangaza ajira na unamuingiza kwenye usaili na Graduate wa 2023 fresh kabisaa kutoka chuo, kichwa bado cha moto. Freshers ananafasi nzuri zaidi...
  8. Craven Cottage

    Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa

    Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi wanatuma maombi Mbalimbali na wanaitajika kuwa na Email. Imekuwa changamoto sana kwangu na kwa hao...
  9. Craven Cottage

    Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

    Binafsi nakuelewa sana. Ila tafsir ya maisha wakat mwingine ni ngumu sana kuielewa. Any way tuishi na ndio maisha. Kuna tuliobahatika japo kufanya kazi za mkataba Serikalin na tukafanya haswaaa kwa bidii sana. Ni ngumu kujisifia ila nilipewa sifa na watu kuwa utendaji wangu wenda ulizidi mara...
  10. Craven Cottage

    Nina mpango kwenda kutafuta maisha Marekani ila sijui naanzia wapi

    Wakikupq ABC unishtue na mim twende wote. Maana kuna jamaa nilimsikia na anaishi huko akisema ukipata chance ya kuja huku hata kama mke wako yuko Labor we acha kila kitu na njoo
  11. Craven Cottage

    Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Mashabik ya tim flan yanashida sana.. Sik ile Yanga wanakosa penat Mbili za mwanzo yakawa yanashangilia na kugonga gonga vitu na kufahanya uharibifu mkubwa, Moyoni najiuliza hiv haya yanajitambua kweli?? Yaani hayana uchungu na timu yao kufel ila yanafurahia kias hiki yanga kufungwa!!!! Bahati...
  12. Craven Cottage

    Maswali yanayoniumiza akili

    Naweka makazi hapa kusubiri majibu
  13. Craven Cottage

    Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

    Mi mweusi tiii ye Mweupe peee Nahis itatuchukua karne kufanana... Ila tabia kama kufiri kwa haraka na kuchukua maamuzi naona na yeye anaanza kuwa kama mim
  14. Craven Cottage

    Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

    Suleiman Jaffo.... kipenzi cha JPM
Back
Top Bottom