Recent content by COUZEN

  1. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani ni positive au negative?

    Ila HONGERA KWA KUYAANZA MAISHA MAPYA...[emoji1787][emoji1787]
  2. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Kuzaa na wanawake tofauti ni kutafuta Matatizo

    PIGA FIMBOOOO,,,, FYATUA WATOTO KILA KONA,,,,, sio lazima wote uwasomeshe,,, wakikua wakijua maisha watapambana,, kikubwa umewaleta DUNIANI.
  3. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani ni positive au negative?

    Kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako,,,,UKIZINGATIA HAYO UTAISHI KWA MATUMAINI.
  4. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Mkataba wa Bandari una faida zaidi

    Habari,, kwa walio bahatika kusoma mkataba wa DPW & TZ,,, Ikitokea mkataba umeanza kufanya kazi kama ulivyo,, ni faida gani tunaweza kupata kama taifa kwa ujumla na kwa mwananchi mmojammoja..... TAJA faida hata moja unayoiona inaweza kupatikana endapo mkataba utaanza kufanya kazi...
  5. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    Wabongo tumezoea dhiki,,,,na tunataka mafanikio ya papo kwa papo,,, weka saini mkataba ufanyekazi,,, WATATUFAIKA WAJUKUU NA VITUKUU VYETU.... huwezi kupanda mnazi leo ukataka uvune madafu kesho....
  6. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Wewe unaesema mkataba hovyo,,,, hujui kama unajichelewesha,,,, Mnaojifanya mnauwezo mkubwa wa kufikiri na kutambua mkataba usipite,, HAPA MNATUCHELEWESHA
  7. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Mimi naona mkataba wenyewe unachelewa
  8. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Ikitokea nikawa Rais, cha kwanza nitavunja mkataba wa DP World

    Mkataba upite au usipite,,, cha msingi wang bosi asifirisike na mimi nipate rizikh,,,
  9. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

    Matokeo ya vijiti na sindano za kuzuia ujauzito
  10. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Huwezi kuongelea mpira wa bongo bila kuitaja TFF yeye ndo mwenye mamlaka katka suala hilii....
  11. COUZEN

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    TANZANIA FOOTBALL FITINA (TFF)
Back
Top Bottom