Ikitokea nikawa Rais, cha kwanza nitavunja mkataba wa DP World

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu mkataba.

Aliaza chifu mangungo sasa chifu hangaya anaturudisha kule kule.

20230630_030511.jpg
 
Sultani Mangungo alikuwa hajui kusoma na kuandika hawa wa leo akina Kabudi?
 
Najua kutakua na fidia za kulipa nikivunja huu mkataba, lakini ni bora nilipe fidia kuliko kuona naongoza nchi inayotumikia mkaba wa hovyo kama huu. Kama rais sintokua tayari kupata aibu ya huu mkataba.

Aliaza chifu mangungo sasa chifu hangaya anaturudisha kule kule.

View attachment 2676025
Hata fidia hatutolipa kuvunja mkataba huu.

Wakibanwa vizuri wahusika, watatwambia vizuri KAZI ya mkia wa Mbuzi.

Sorry 🙏🙏, mbuzi hapo kaingia kimakosa, ni sababu tu sijala nyama yake siku mingi.
 
Hata fidia hatutolipa kuvunja mkataba huu.

Wakibanwa vizuri wahusika, watatwambia vizuri KAZI ya mkia wa Mbuzi.

Sorry , mbuzi hapo kaingia kimakosa, ni sababu tu sijala nyama yake siku mingi.
Aisee
 
Mkataba upite au usipite,,, cha msingi wang bosi asifirisike na mimi nipate rizikh,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom