Acheni kuufananisha uhandisi na mambo ya kijinga, hiyo dhambi itawatafuna kama ulisomea uhandisi na unajutia inabidi ukanyiwe maombi, eti naacha uhandisi nikasomee ualimu hebu kuweni serious kidogo wachangia mada
Acha kumfananisha B12 na mambo ya kijinga, na ni dhambi kumfananisha Fundi Adam mchomvu na huyo dulla, baba Jonny sio MTU hivi hivi tuu he's the best presenter ever
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku
Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima.
Hivi kuna Siri gani kwenye kiepe yai kwa wanawake ? Mana wanapenda sana bidhaa hii. Na wengi wao kwenye kiepe...
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" mwisho wa kunukuu, Tupende kujifunza watanzania kabla ya kuchangia hoja, nazani Lissu anajua anachokifanya mana ni expert wa sheria so ana maarifa hayo
Ni heri upige pesa lakini maisha ya mwananchi yawe nafuu kidogo na hicho JK alikimudu kwa kiasi Fulani lakini kwa sasa mambo yamebadilika, kiongozi anabana matumizi lakini hatufaidiki na life inazidi kukaba koo, we miss U JK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.