Couple Fundi
Member
- Jul 9, 2014
- 17
- 8
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" mwisho wa kunukuu, Tupende kujifunza watanzania kabla ya kuchangia hoja, nazani Lissu anajua anachokifanya mana ni expert wa sheria so ana maarifa hayo
.Mwanasheria huyo [Lissu] amesema kwa kuzingatia Katiba na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, kuipinga na kuikosoa Serikali si uhaini wala kosa kwani vyama vya upinzani vimepata uhalali huo kisheria
Fulish people discuss simple argument but intelligence person discuss tough topics!!!.
Bigotted
.Fulish people discuss simple argument but intelligence person discuss tough topics!!!
Spot on mzee tundu. Pia mamlaka ya mbunge yana ukomo; jimboni kwake na bungeni.
Kuikosoa serikali ni wajibu wako mkuuMhhhhh! sasa anatusaidiaje...?
Kwani ana??Rais wa nchi anatakiwa kuwa na akili timamu.
Hujaelewa au?? Ulikmbia xulHuyu nae...
Hujaelewa au?? Ulikmbia xul