Recent content by COSTOMER

  1. C

    TCRA wameshikwa Masikio

    mmmh mapya haya....nasikia wenye king'amuzi cha sasa hivi chenye antena kama ya zuku ndo wanaipata, ila wenye ving'amuzi vya zamani hawaioni mmmh! si cha kike hiki loh!!!!!!!!!!! TCRA kubalini mliingizwa chochoooo
  2. C

    Chuki ya Kagame kwa Rais Kikwete ilianza siku nyingi, soma hapa....

    NA HUYO MAMA AMEKUWA KIGEUGEU LOL! shame on you.....akiwa Afrika anajifanya anaelewa kila maelewano yaliyofanywa na waasisi baina ya Malawi na Tanzania akienda kwa MABWANA zake nje anageuka, nyambafffffffffffffffffffffffffff..........
  3. C

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    10/06/2013 Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Star TV kujiondoa Star Times. Tarehe 23 Mei 2013 Star TV kupitia mwanasheria wake iliwataka Star-Times kuiondoa kwenye king’amuzi chao ifikapo saa sita usiku wa tarehe 31Mei kutokana na kurusha na kuuza maudhui na vipindi vyake bila idhini na...
  4. C

    Star tv-tuongee asubuhi: Naibu spika Ndugai anadai hakuna kanuni iliyovunjwa

    Wadau salaam, Naangalia kipindi cha Tuongee asubuhi Star Tv. kuna mahojiano amefanya Ndugai na mwandishi wa star dodoma anadai kulingana na yale yanayoendelea kutokea bungeni ikiwemo matusi hakuna kanuni iliyokiukwa!!!! Lakini kama haitoshi yupo mbunge wa siku nyingi ndani ya studio Leonard...
  5. C

    Star tv na habari kwa kina....wameishiwa?

    naamini kwa maana ya kipengele hicho kuanzishwa kilikuwa na lengo la kuibua changamoto na mwangaza wa nini cha kufanya juu ya changamoto hiyo ama kundi fulani la jamii mfano.watoto wa mitaani, ukosefu wa maji,kupanda kwa bei ya bidhaa etc..... wala si urefu ama kumprofile mtu kama kipindi cha...
  6. C

    Tendwa sasa atishia kukifuta CHADEMA

    nahisi kuna kitu kinaandaliwa hapa ngoja utaona!!!!!
  7. C

    Watanzania hapa sijawaelewa Chadema wana maana gani?

    wewe ni mnafikiiiiiiiii ni vyema uatafuta mada zingine za kuweka
  8. C

    TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

    wakati mwingine tuache kuwapa vichwa watu usahihi wao uko wapi? unaweza ukaweka bayana vurugu za CHADEMA ambazo wamefanya ni zipi kama si uonevu wa Jeshi la polisi kupinga kila wanachotaka kufanya mpaka kufikia machafuko na kuua watu wasio na hatia......HAPANA!!! hiyo TV inatumika vibaya kwa sasa
  9. C

    TBC wana potosha ukweli wana rusha matangazo ya uvunjiifu wa amani wa CHADEMA na nchi kutotawalika

    tru wanaoanisha eti tukio la mwangosi na maneno ya Dakta Slaa aliyoyatoa pale arusha mwaka jana tena wamekanukuu kasehemu kadogo tu kalipoongelea serikali ya kikwete yaweza isitawalike, jamani mbona hii televisheni ya taifa inafanya makosa makubwa kama hayooo!!!!!!!!!!!!!! INAUMA
  10. C

    siku 7 za CHADEMA kwa Nape

    teheteheteheteheeee kazi kwer kwer
  11. C

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    ccm ni mashetani tena weusi wasio na utu i hate youuuu
  12. C

    "Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

    ni mshenzi huyo na hata kama Magamba wakimconsider kama ni kiongozi wa kumpa hata ukatibu muhtasi wameliwa hovyoooo kabisa
  13. C

    Ugonjwa wa Ebola waingia jijini Mwanza!

    ya ni kweli, kulingana na taarifa za hospitali ya sekotoure na Bugando na pia kulingana na mwanahabari wa Star Tv Rogerz William anaonesha kuwa bado kuna changamoto ya eneo la kumuhifadhi japo bado anahisiwa
  14. C

    Vaginal fungi infection.

    lakni pia uwe unajisafisha kwa maji safi na kuingiza vidole vyako viwili kutoa ute ute wa ndani ambao ni mchafu wakati mwingine ni kutojisafisha vizuri kwa ndani.......
  15. C

    Mawaziri saba wang'oka, Pinda chupuchupu

    na cha ajabu hata waziri mkuu haonekani kabisaaaa wanahabari wamejipanga kumvizia ila hola bado wanaendelea kumvizia ngoja tusikilizieeeee
Back
Top Bottom