Recent content by Coster1

  1. Coster1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

    Inasadikika Nchini Israel wameweza kutengeneza Antibody ambazo zitaifanya miili yetu na immune system ziweze kutambua Coronavirus na kuiua na pia hiyo antibody itabaki mwilimi kama kinga ya coronavirus
  2. Coster1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Asante sana kwa Tambua mchango wetu Kilimo Smart C.E.O
  3. Coster1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Asante sana kwa Tambua mchango wetu Kilimo Smart C.E.O
  4. Coster1

    JamiiForums Tanzania Kilimo Smart survey 2019

    Habari wana Jamvi. Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote. Lengo: kilimo smart ni application ambayo inapatikana playstore yenye lengo la kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi na kuona tija ya kilimo kwa...
  5. Coster1

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Njoo ufanye biashara ya AQUAPONICS inalipa sana na utanufaika kwa mda mfupi sana kwa maelezo zaid tembelea HOW TO EARN 1000$ PER MONTH WITH AQUAPONICS - Smart Products
  6. Coster1

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiwa 1st year kwa wiki ya kuripoti chuoni?

    Duh hataree sana full kuanza uliza ni madaftr gan tunatumia teh teh teh teh
  7. Coster1

    JamiiForums Tanzania Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

    Duuuh mbona hatareee
  8. Coster1

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    Uspanic mkuu nlishakutaga kitu kama hii pia nlivyochek loan status mwez wa 8 ko itakua hwajaupdate kuwa mpole tu
  9. Coster1

    JamiiForums Tanzania Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

    Duh hatareee
  10. Coster1

    JamiiForums Tanzania Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

    Shukran kaka nimekuelewa sanaaaa.
  11. Coster1

    JamiiForums Tanzania Naomba kuondolewa ujinga kwa haya

    Natanguliza heshima. Naomba kufahamu yafuatayo huko chuoni. Nimechaguliwa sua ila wasisi wangu ni hivi. 1:boom inakuaje kabla sjapata mkopo na je nkikosa mkopo boom ntapata? 2:inakuwaje kureport chuo kabla ya mkopo kwa wale wa sua naomba muongozo? 3:nahitaji gharama gani za kuishi chuo mpaka...
  12. Coster1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Degree ya busness administration enterprinuership and development Mzumbe

    Shukran mkuu ckua nafaham hili
  13. Coster1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Degree ya busness administration enterprinuership and development Mzumbe

    ahahaha me mwenyewe sipendag ujinga
  14. Coster1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji custom domain

    Ahsante
Back
Top Bottom