Mimi napenda nikushauri hivi, ukisema urudi shule kweli muda utakua umeenda sana, afadhali ungelifanya hayo ukiwa na umri wa miaka 20 ungeweza kurudi shule, wanasemaga "elimu haina mwisho" lakini jaribu kuipotezea, lakini si vibaya kwa sababu umesoma ila vyeti ndio tatizo. Cha msingi tafuta fani...
Unapoambiwa uzuri wa m/mke ni tabia maana xake kwa ambaye hajaolewa hiyo lazima iwepo. Mwanamke hua hamsahau jamaa alie mtoa bikra,so ni vema ukamtoa mwenyewe
Hata mimi nilitoka kubishana kuhusu hili siku chache zilizopita, ukweli mimi sijui, lakini nahisi ukifa utaitwa maiti, ukishazikwa hapo utakua marehemu. Hii hayati watatusaidia wana JF
Haikutosha kumlaza kifuani, mi napendaga sana romance you supposed to do that atleast to reduce those mihemko.kama isingetosha ungekaekea some honey maeneo fulani kangelilamba pia,ungepiga kelele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.