special kwa wanaume

Mkuu siku hizi kwa kizazi hiki kilicholaaniwa hakuna kitu kinachoitwa bikira. Mtoto hutoka tumboni akiwa tayari amebikiriwa ready for human consumption.

Aseee!!! Sasa anakuwa kabikiliwa na nani?
 
kwa case yako hii anakuwa katika lile kundi la waliozaliwa bila hicho kiwambo kutokana na uumbaji

Hakuna kitu wewe acha uongo, wengi wanaondolewa hiyo maneno ktk umri mdogo tu wakiwa primary school
 
Barabara ikiwa mpya siutaiona tu hukutani na mashimo, sio lazima ukate kamba eti unaifungua rasmi.
 
bikira ni usumbufu tu

dah kaka hebu nijuze vzr huo usumbufu kvp maana nnataraj ku-do mda c mrefu, mi itakua mara y kwnza na msichana pia amenihakikishia ni mara y kwnza pia,bt dat z nt the case niambie tu usumbufu kvp. na nliskia kuna mtu aliwah kumtoa bkr mschana afu hakupewa tena sa cjui ni kw sbb mschana anaogopa labda anahsi ataumia tena au inakuaje? naami wewe pa1 na wengne watanisaidi kwa kuwa ni wakubwa na wny uzoefu
 
Unapoambiwa uzuri wa m/mke ni tabia maana xake kwa ambaye hajaolewa hiyo lazima iwepo. Mwanamke hua hamsahau jamaa alie mtoa bikra,so ni vema ukamtoa mwenyewe
 
Unapoambiwa uzuri wa m/mke ni tabia maana xake kwa ambaye hajaolewa hiyo lazima iwepo. Mwanamke hua hamsahau jamaa alie mtoa bikra,so ni vema ukamtoa mwenyewe
kwa hili nadhani inategemea sana, labda mwanaume akimtoa bikra msichana ndo hatamsahau huyo msichana ingawa sina uwakika nalo ila ninachojua si lazima kumkumbuka mtu aliyekutoa bikra mana mimi nilishamsahau huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom