swali kwa kina dada peke yao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

swali kwa kina dada peke yao!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nanchi, Feb 3, 2012.

 1. nanchi

  nanchi Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nataka kujua juu ya mahusiano baina ya b na bwana.watu wawili wa jinsia mbili wanapokua ktkt mahusiano ni kweli mara nyingi mwanamke ndie anaekua mkweli katika love?naimanisha mwanamke ndie anae penda kweli? Kwa utaalamu wenu mnavyoona.na ni kweli mwanamke ndie anaepata raha zaidi mnapokua kwenye msuguano hadi kufika kileleni?
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sasa mdogo unatafuta nini hapa? kafanye homework huko
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ushauri wa bure!
  Huwezi kupata majibu sahihi ya swali la aina hiyo ukitaka ujibiwe na wadada tu.
  Ni ushauri tu, waweza kuutupilia mbali!
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mie mdada..

  Kwenye mahusiano wote mnaweza kuwa wakweli na kupenda..vilevile inaweza kutokea mmoja wapo ana mapenzi ya kweli wakati mwingine ni mzugaji..ila haimaanishi wanawake ndiyo wakweli peke yao..kuna wanaume wakweli.
  Raha muhimu mpate wote kwenye ile shughuli..mfikishe akufikishe yaani mfikishane kilele cha kibo!
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama wewe mdogo subiri ukue utapata majibu ya maswali yako yote tena kwa viendo na siyo nadharia.
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 874
  Trophy Points: 280
  Halafu ikusaidie nini na we bado mdogo?
   
 7. nanchi

  nanchi Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ahsante kwa ushaur paka hebu tusaidiane kwa wote huenda nikapata kitu kitamu zaidi
   
 8. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ahsante!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sio kweli. .
  Yeyote yule anaweza akawa mkweli maana inatokana na tabia ya mtu na sio jinsia.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Si umeona wazoefu wameshakujibu! Hata wadogo pia ni vyema wajuzwe jamani...........................
   
 11. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tutamjuza siku ya kitchen party
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Na sie wabibi tunaruhusiwa kujibu?
   
 13. nanchi

  nanchi Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sikuimanisha mdogo wa umri mandugu.mdogo wa haya mambo nisaidieni mwanga msinifanyie roho mbaya
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kua uyaone.
   
 15. C

  Cosmas Lawrence Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani mfanyiwa masaji na mfanyaji nani hujisikia raha
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh, njoo tufanye pulakitiko uone.
   
Loading...