Recent content by corintho

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Na wabunge wakimaliza miaka mitano yao wasipewe hayo mamilioni yao wasubiri mpaka miaka mitatu kama wengine
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Tunapoenda Kuna kitu kitafuata hii nchi kweli hela ya mtu kweli mnampangia miaka mitatu nani atakuwa anailea familia ya huyo muhusika ngoja tutasikia
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Mtajuta kutomchagua lowasa kweli
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

    Cocktail ya juice hiyo
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SAMATA: Atapotea kwenye Soka

    Maana ya kuwa mfungaji nini? Watanzania nifunzeni kupenda vya kwenu hakuna mfungaji anayefunga Bila kuvizia
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Ndio kaka
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Ndo ninayo fanya na ninatumia lini mbili mpaka sasa
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Akiwa kwenye whatsup asilog out so anachokifanya ni kubadilisha network ya laini za simu tu kaka ni simple
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Simu moja inatosha
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze kwa vikosi imara na vya nguvu vya jeshi la polisi

    Mazoezi ya kuruka sarakasi kweli mnabebana utampiga mwizi kweli Hahaha
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza napingana na Serikali... Acheni CHADEMA waandamane!

    Present source ya habari kaka
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza napingana na Serikali... Acheni CHADEMA waandamane!

    Upo uingereza nini mtoa mada
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza napingana na Serikali... Acheni CHADEMA waandamane!

    Hivi wakakati unaandika mada ulikuwa mzima kweli na pia kama unafuatilia siasa angalia marekani donald trump anavyoongea mambo ya ajabu lakini umesikia Kuwa wanamkata kugombea uraisi ama Chama chake kukatwa
  14. C

    JamiiForums Tanzania 2pac kapoor wa india

    Hahahaha hahahaha hahahaha
  15. C

    JamiiForums Tanzania SSRA na PPF nini kinaendelea? Kwanini mnatunyanyasa na hela ni zetu?

    Balaa sasa hiyo
Back
Top Bottom