hawana lolote mara kibao vibaka wanawapora bunduki tena unakuta wana bisbis Na vitu butu
laiti hawa wachangiaji wangesoma comment yako najua wengi wanaokejeli ni wale hawajawahi kukumbana na kadhia ya yoyote akaomba msaada polisi kusaidiwa au ni wale ambao usiku kalala tu na kuamka asubuhi kuko shwari kumbe kuna watu wanakesha usiku kucha kwenye doria kuwalinda wao just imagine askari unaambiwa kuna tukio sehemu na yeye bila kuhoji anachukua bunduki anaenda kupambana na majambazi akijua kuwa kwa bahati mbaya na uhai wake unaweza kutoka palepale...watanzania tuache siasa hata hawa UKUTA hawana nia njema na nchi zaidi ya kutafuta hurumaNimeangalia comment lakin kwa kidogo silisapot cos tunaona jins gan askari wanavyopambana na majambaz, hiv nyie mmeshawah kwenda front kujibzana na majambaz? Ebu cheki ilivyokawa mwanza na sasa, cheki ilivyokawa arusha na sasa, cheki dar na sasa kwa hili sisapot coz japo ndio wanamapungufu mengi lakn ukiangalia kwa umakini utaona juhud zao wale jamaa na kwa uchunguz niliofanya km endapo jeshi la police lingekuwa linafanya kaz km idara nyengne kuanzia asbh mpk jion cjui ingekuwaje lkn wapo uck na mchana hiv hiv majambaz yote yaliouliwa dar, mwanza, tanga, arusha, na sehm nyingne raia gan alienda front? sikatai vipo ambavyo vinafanywa na jeshi letu ambavyo c sahih lkn c kwa upende wa ulinzi na mapambano na majambazi kwa hili nawapongeza saaaana, hiv haujiuliz ujasiri gan wa kwenda kupambana na mwenzio mwenye akili km ww tena mwengne anamafunzo km yako lkn wanajitoa muhanga cc raia hakuna anayethubutu mashine ikilia nje ndo kwanza unaingia vungun.
kuna rafiki yangu askari hajaoa ngoja nifanye mpango muoane ili pale askari wa kike akikosekana na wewe uta be pressumed kama askari wa kike nadhani biased mind itaisha in short vipo vituo vidogo vinafungwa jioni kwa kutokukidhi hadhi ya madaraja ya vituo vinavyopaswa kufanya 24 hrs just contact your local police upate maelezo yakeNdo kwanza matukio ya ujambazi yakifululiza vituo vya polisi vinafungwa saa moja jioni, kuna jamaa pia walishawahi kuingia kituo cha polisi wakaiba silaha..... Hawa ni waigizaji tu
Bro au we ni askar nn?maana cc tunachokiona majambazi wote wanaokamatwa hostory inaonesha waliuwa askar hadi asakar afe ndo unaliona jesh la polisi linaingia front na utasikia wamekamata majambaz lakini kawaida tu huwwzi kusikia zaid ya "uchunguzi unaendelea nawatoa hofu wananch"..hayo ni matisho kwa raia waoga kama sie ili kuhofia kidai haki za msingiNimeangalia comment lakin kwa kidogo silisapot cos tunaona jins gan askari wanavyopambana na majambaz, hiv nyie mmeshawah kwenda front kujibzana na majambaz? Ebu cheki ilivyokawa mwanza na sasa, cheki ilivyokawa arusha na sasa, cheki dar na sasa kwa hili sisapot coz japo ndio wanamapungufu mengi lakn ukiangalia kwa umakini utaona juhud zao wale jamaa na kwa uchunguz niliofanya km endapo jeshi la police lingekuwa linafanya kaz km idara nyengne kuanzia asbh mpk jion cjui ingekuwaje lkn wapo uck na mchana hiv hiv majambaz yote yaliouliwa dar, mwanza, tanga, arusha, na sehm nyingne raia gan alienda front? sikatai vipo ambavyo vinafanywa na jeshi letu ambavyo c sahih lkn c kwa upende wa ulinzi na mapambano na majambazi kwa hili nawapongeza saaaana, hiv haujiuliz ujasiri gan wa kwenda kupambana na mwenzio mwenye akili km ww tena mwengne anamafunzo km yako lkn wanajitoa muhanga cc raia hakuna anayethubutu mashine ikilia nje ndo kwanza unaingia vungun.
nawaongelea hawa polisisiem wako unaowasifia tatizo hawa jamaa ni wengi wao ni washirika wa wahalifu siwaamini na siwezi kuwasifia kamwe nawajua vizuri hawana loloteSi Tanzania tu, ambapo wahalifu/ vibaka wanatumia visu, bisibis kutekeleza uhalifu. Ni Mara ngapi tumesikia USA, Ujerumani na UK. Mauaji ya kutumia vifaa hivi hivi, na hata mabomu na silaha zingine licha yakuwa ndo nchi ambazo zinauwezo mkubwa katika kila nyanja,
Nimeangalia comment lakin kwa kidogo silisapot cos tunaona jins gan askari wanavyopambana na majambaz, hiv nyie mmeshawah kwenda front kujibzana na majambaz? Ebu cheki ilivyokawa mwanza na sasa, cheki ilivyokawa arusha na sasa, cheki dar na sasa kwa hili sisapot coz japo ndio wanamapungufu mengi lakn ukiangalia kwa umakini utaona juhud zao wale jamaa na kwa uchunguz niliofanya km endapo jeshi la police lingekuwa linafanya kaz km idara nyengne kuanzia asbh mpk jion cjui ingekuwaje lkn wapo uck na mchana hiv hiv majambaz yote yaliouliwa dar, mwanza, tanga, arusha, na sehm nyingne raia gan alienda front? sikatai vipo ambavyo vinafanywa na jeshi letu ambavyo c sahih lkn c kwa upende wa ulinzi na mapambano na majambazi kwa hili nawapongeza saaaana, hiv haujiuliz ujasiri gan wa kwenda kupambana na mwenzio mwenye akili km ww tena mwengne anamafunzo km yako lkn wanajitoa muhanga cc raia hakuna anayethubutu mashine ikilia nje ndo kwanza unaingia vungun.
Umenena vyema, jeshi la watawala hufanya hivyo kuwafurahisha watawala. Watu wanavamiwa na majambazi wanauawa, wanaibiwa magari, vibaka wakabaji wamejaa, madawa ya kulevya kila kona hawana lolote wafanyalo ilihali ndio kazi yao fundamental. Hata ukitoa taarifa na kufungua jarida hakuna litakalo fanyika sana sana utaombwa rushwa na mwisho wa siku utaambiwa file limepotea.Jeshi imara halichukui vifaa store na kuvitembeza mitaani ili kuwapiga mikwara wananchi wake.
Jeshi imara ni lile linalifanya kazi bega kwa bega na wananchi wake kutatua matatizo ya kihalifu kwenye jamii husika.
Kuwa na silaha nzito ni sahihi cos km unafuatilia vizuri jeshi la polisi ni jeshi linalolinda raia na mali zake lakin pia ndiye mdhibiti wa matukio ya ndan km ugaidi ikishindikan ndo wanasaidiwa na jeshi la wananchi kwahiyo zile zinaitwa zana za msaada lazma ziwepo ni kwa tahadhari kwa mambo ya kigaidi elewa hivyo kaka sidhan km umeshawahi kuona ktk maandamano au vurugu zzte ndogo askari kaenda na rocket au ant aircraft machine gun au zinazofanana na hizp[/
Mkuu unawasema polisi hawahawa wanaoibiwa mpaka silaha tena vituoni...hahaaaaaaahNafiikiri kila mmoja ameshuhudia tambo na advertise za jeshi letu tukufu la polisi, binafsi nimeshangaa kuwa tuna jeshi imara lenye vikosi kila pembe ya nchi na silaha madhubuti! swali langu ni kwanini hivi vikosi uwa havijitokezi pale tunapovihitaji mfano katika sekeseke la panya road, uhalifu wa kutumia silaha, madawa ya kulevya, ugaidi kule amboni na matukio mengine ya aina hiyo? kinyume chake vikosi hivi vinajitokeza wakati wananchi wametulia na wanafanya kazi zao bila tatizo?
Udikteta ulisemwa na watu kufunguliwa mashtaka na kesi zipo mahakamani.Nafiikiri kila mmoja ameshuhudia tambo na advertise za jeshi letu tukufu la polisi, binafsi nimeshangaa kuwa tuna jeshi imara lenye vikosi kila pembe ya nchi na silaha madhubuti! swali langu ni kwanini hivi vikosi uwa havijitokezi pale tunapovihitaji mfano katika sekeseke la panya road, uhalifu wa kutumia silaha, madawa ya kulevya, ugaidi kule amboni na matukio mengine ya aina hiyo? kinyume chake vikosi hivi vinajitokeza wakati wananchi wametulia na wanafanya kazi zao bila tatizo?
Nafiikiri kila mmoja ameshuhudia tambo na advertise za jeshi letu tukufu la polisi, binafsi nimeshangaa kuwa tuna jeshi imara lenye vikosi kila pembe ya nchi na silaha madhubuti! swali langu ni kwanini hivi vikosi uwa havijitokezi pale tunapovihitaji mfano katika sekeseke la panya road, uhalifu wa kutumia silaha, madawa ya kulevya, ugaidi kule amboni na matukio mengine ya aina hiyo? kinyume chake vikosi hivi vinajitokeza wakati wananchi wametulia na wanafanya kazi zao bila tatizo?