Recent content by cooper

  1. cooper

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Wapigie kwenye namba hii watakuelekeza vizuri 0714197700.
  2. cooper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Hakuna live stream?
  3. cooper

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara

    Naomba wazo la biashara kwa mtaji mdogo
  4. cooper

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wauza magari na wanunuzi ndani ya JF

    Naombeni uzoefu kuhusu toyota Alteza uzuri na changamoto zake
  5. cooper

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

    Yule mdogo wangu ndio basi tena
  6. cooper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna kamoja kanataka moto na kapo serious kweli. Sitaki majukumu mapya mie
  7. cooper

    JamiiForums Tanzania BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

    Itasaidia kuleta muafaka?
  8. cooper

    JamiiForums Tanzania Napeleka ombi Mahakama Kuu itoe amri (Mandamus) ili viongozi wa CHADEMA waliotafuna mali za umma wakamatwe na kufikishwa mahakani

    Sasa unatuomba ruhusa?! Kama unaona inafaa we nenda kwani ni haki yako
  9. cooper

    JamiiForums Tanzania Itifaki kwenye hotuba za Ramaphosa na Magufuli Ikulu Tanzania

    Mbona alipokuja rais wa China hakuongea ki english. Kwa nini tunakuwa wanyonge na lugha yetu?!
  10. cooper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje Kumwabia mchumba/mke mtarajiwa kuwa una mtoto wa ujanani

    Mimi nanaye wa uzeeni ndio napanga namna ya kumjulisha waifu
  11. cooper

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli International Airport

    Kwanini isiwe JPM au Chato airport
  12. cooper

    JamiiForums Tanzania Top 20 Richest Countries In Africa – IMF & World Bank Latest Data

    Rwanda wako wa ngapi???? Maana nasikia wameendelea sana kuliko nchi fulani niliyoina kwenye list hapo juu
  13. cooper

    JamiiForums Tanzania Mufindi tumeumizwa vya kutosha sasa yatosha

    Lakini si mnawachagua wenyewe hao wabunge wenu?!
Back
Top Bottom