Napeleka ombi Mahakama Kuu itoe amri (Mandamus) ili viongozi wa CHADEMA waliotafuna mali za umma wakamatwe na kufikishwa mahakani

Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Ushasema ujaenda shule. Kwa nn? Tupoteze nguvu kuangaika na watu ambao hawajenda shule
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Uendawazimu sio lazima uvue nguo wahi milembe haraka sana , chato airport , 1.5 tilioni , 276 bilioni ujenzi , voti namba 20 ikulu , ununuzi wa ndege , Pimbi kweli wewe .
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Kwanini usimpeleke bwana yako huko kwa kosa la kukufumua ....rii...nd
 
Hii nchi kama vile umekuwa ya mashetani fulani! Chadema ama mdomo uliteleza kwa kuogopa Kuitaja wahusika???
 
Una uchungu na hela za watu wenye mapenzi binafsi na chama unaacha kodi za serikali zilizotumika kununua wapinzani ambazo ni hela zetu wote.
Hata hizo zinazotumika kununua wapinzani ni hela binafsi za watu wenye mapenzi na chama
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Nani kakushauri hu ujinga?
 
Baada ya kusema aujaenda shule sana nimegundua wewe ni mlemavu

Sasa turudi kwenye mada kama sikosei mwaka jana au juzi sheria ilibadilishwa auwezi kufungua kesi kama unayosema hapo paka hiyo kesi iwe inakuasiri moja kwa moja wewe binafsi
 
Kuna Mambo yanavumilika ila tusivuke mipaka chadema wamtendewa kila ovu hapa duniani hakuna rangi hawajaona hebu waacheni maana hata paka ukimchokoza sana anaweza kukuuwa.
Nadhani mwandishi anazungumzia viongozi wa CHADEMA na siyo CHADEMA. Tutofautishe chama na watu ktk chama.
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Mandamus, this is the remedy provided by the high Court to compile the public authority to perform public duties
Condition for mandamus(compiling order)
  • The applicant must have sufficient interest
  • The applicant must request performance and authority refuse to perform
  • The function must be mandatory in nature
-The function must be public in nature
-There must be no any alternative remedies
Jipime kwa vigezo hivyo uone kama unayo haki kisheria
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Jambo jema, ingawa sheria inayokupa uhuru wa kufanya hivyo Magufuli ameshaifuta ama yupo kwenye hatuwa za mwisho za kuifuta!. Hivyo fanya haraka iwezekanavyo kama bado haijafutwa.
 
Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna.

Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na kuupa umma wa watanzania ukweli jinsi ruzuku na michango ya wanachama ilivyotafunwa kama karanga mbichi.

Nipo kwenye hatua za mwisho kufile hii applicationi ili mahakama kuu itoe amri Pccb watekeleze wajibu wao. Maana ushahidi upo wazi kabisa, kwa nini wanawaacha wanazurula mitaani kama vile hawana makosa.

Ni siri yangu ni High Court gani naenda kuweka ombi langu. Tayari nimekamilisha kila kitu. Nina uchungu na mali ya umma ambayo ilitafunwa bila sababu za maana na watu kufanyia matanuzi Chako ni chako Dodoma.
Ila wewe Jamaa ni Msengle sana
Mods watanisamahe
 
Back
Top Bottom