Recent content by coolboyjden

  1. coolboyjden

    Wakuu naomba tushare uzoefu kwenye kozi za veta

    Natanguliza salama, Wakuu, Naomba kufahamu kutokana na uzoefu wako kozi ipi veta ni nyepesi na rahisi kujiajiri mwenyewe. lengo nikupata mafunzo yatakayo saidia kujiajiri. shukuran.
  2. coolboyjden

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status:job seeker Education level: bachelor degree Proffesional: procurement and logistics Experience: entry level Gender:male Location:dodoma Availability:as soon as possible
  3. coolboyjden

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    mbona link kwangu haifunguki au sim yangu msaada tafadhali
  4. coolboyjden

    Assistant Operations Officer - 10 post at TPA

    ni kweli mkuu kwa maneno ya raisi mstaafu wa awamu ya nne.
  5. coolboyjden

    Assistant Operations Officer - 10 post at TPA

    wakuu wenye maujanja, possible, uzoefu na ushaur kwenye post hii tunaomba mtuachie chochote kwenye comment hp natanguliza shukuran
  6. coolboyjden

    Nchi 20 za Afrika zenye upatikanaji wa uhakika wa umeme

    dah nimekimbia fasta kweny list nione tuko wangap dah aibu hatupo nawaona Kenya wakati kila siku nasikia tutawauzia umeme na gesi kwan ss tunashida gan
  7. coolboyjden

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    school is the only business where customers are beaten seriously by teacher mkuu
  8. coolboyjden

    Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

    Hahaha dah wameambiwa wakatumie force account mafundi wanajiamulia tu ili wamalize kazi kwa garama ndogo kumbe wanatengeneza mabom yatatulipukia tu hayo hii nchi hataufany nn wapigaji wanakuja na mbinu mpya kila kukicha wazipige hela
  9. coolboyjden

    Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    dah huyo atakua amerogwa sio bure akaoge na maji ya bahari
  10. coolboyjden

    Dkt. Mpango: Nilipoachiwa nchi niliogopa lakini nashukuru Rais umerudi na nchi ni salama kabisa

    dah ametuzalilisha wanaume yani bila wanawake hatuna kitu. haya mapambio sijue yataisha lini yanahatarisha uwanaume wetu kwakwel wakati ss ndio kichwa
  11. coolboyjden

    Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

    Kukaa sana ni kukomoana na kuchumbuana kawaida tu chenye maandalizi kufanya wote m enjoy
  12. coolboyjden

    Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

    Dah watu wanadanganyika na porn bila kujua ni edited na wanatumia madawa. Nachojua utamu wakuchakata ni kupiga bao kwa mwanaume kukaa sana ni kujichelewesha utam kisa kuonekana kidume Kuchakatana ni zaidi ya ingiza toa
  13. coolboyjden

    Natafuta mume wa kunioa

    hahaha utaelewa mitandao inapishana sn na uhalisia kwakwel anakua kwa haraka kwakwel
  14. coolboyjden

    Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

    naona tatiz lipo kweny uwasilishaji tu wawatu ila ukiangalia hp sio kama watu/ wawekezaji hawaijue tanzania na vivutio tatz bado tulikuwa tunapata watali wachache kwahy wawekezaji wanajua wakiwekeza itakua hasara kwao, kwahy kwa ss wamesha jua tumeamua kuongeza nguvu kweny utali kimoja ni hy...
Back
Top Bottom