TAESA yatoa fursa kujisajili upya

TAESA yatoa fursa kujisajili upya

logan007

Senior Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
197
Reaction score
200
Kitengo cha Huduma za Ajira kinapenda kuwatangazia wateja wake wote kua kuanzia sasa Registration itafanyika through NLMIS
Kama uliwahi kujisajili kwa kwenda physically ofisi za TaESA au ulijisajili kwenye taesa portal tunaomba ujisajili tena kwenye link hiyo hapo juu.
Asante
 
Taesa ndo nini?
Tanzania employment service agency( TAESA) iko chini ya wizara ya ajira, vijana na watu wenye ulemavu chini ya ofisi ya waziri mkuu

kazi yake ni kusaidia vijana kupata internship na ajira za mikataba serikalini na private pia ajira za kudumu sector binafsi angalizo sio ajira za kudumu serikalini maana chombo kinachohusika na ajira za kudumu ni public service recruitment secretariat (utumishi)
 
Kwenye iyo link Yao mpya Sion sehem ya ku upload certificates
Nenda kwenye academic qualifications kulia utaona vidot vi3 ,click kitatokea kitu kama hapo chin kwenye picha
20220515_181114.jpg
 
Back
Top Bottom