Napenda kufahamu majina yaliyobaki kwenye data base ya serikali huishiwa nguvu ( Expire) baada ya muda gani baada ya wasailiwa kuitwa kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kumsikia akijibu swali kuwa anafanya baishara ya hela za zamani.. Hakuna mapenzi ya haraka haraka hivyo.. Jamaa lazma kutakuwa na mchongo anautafuta
Maeneo mengine hicho unachokizungumza hakipo mkuu.. Mfano issue ya taka huku kwetu unapewa na receipt ya mashine .. Ulinzi shirikishi tunajilinda wenywe.. Waliokuwa wengi kwenye uchaguzi huu wanaandaa mazingira ya udiwani 2020...
Changamoto kubwa inayotusumbua na hasa kundi hili la vijana ni UAMINIFU ktk Ndoa zetu ama mahusiano ya kawaida.. Pia wengi wetu bado hatutaki kuamini kuwa Ukimwi unaua.. Kijana Mwenzangu Ukimwi upo na unaua saaana..
Mimba anayo yeye Kiraruraru upate wewe mbona unatuchanganya mzee baba.. Ushasema mke wa mtu we jiandae kutoa jina tu make mwenye kulea mimba ashapatikana
Make nilifanya usaili ktk shirika moja kubwa tu nchini mwishoni nikala KO.. Lakini kwenye matokeo ya written nilikuwa miongoni mwa top 6 kati ya watu 221 tuliofanya usaili.. Je niendelee kusubiri labda ipo siku Data base itanifikiria au imekaaje hii... Make nshajikatia tamaa na ajira za serikali..
Naomba nipatiwe msaada kwenye hili... Naambiwa endapo unakuwa umekosa nafasi jina lako litaingizwa kwenye Kanzi data (Data base) kwa mahitaji ya badae kama nafasi zikipatikana ktk taasisi husika.. Swali langu.. Majina yote yaliyopita kwenye usaili wa Written Ndio Pekee yanayoingia kwenye data...
Hao watoto non stop hizo papuchi watatoa bure.. Mkopo umemkalia kooni atawapa nini... Watoto wa sasa wanajulikana mzee hatoi papuchi mpaka mmekaa mezani kama kamati..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.