Lissu: Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani

Lissu Ndiye Rais Ajaye Wa Tanzania Mtake Msitake' Wakala Wa Mabeberu Ni Ccm Na Magufuli Waliouza Nyumba Za Umma Zaidi Ya 8000, Wakauza Madini Miaka Nenda Miaka Rudi, Wakauza Gesi, Wakaifilisi Tanesco Kupitia IPTL, RICHMOND na DOWANS.

Eti Unapambana Na Ufisadi Unawachekea Kipara Na Jk Unafiki Mtupu.

Kuna Siku Tutawashugulikia.
Nyinyi endeleeni kuota, sio vibaya kuota
 
Lissu anao wakati wa kupoteza, hana ajira na hana kitega uchumi, inasikitisha kuwa hata chama chake hakitaweza kuendelea kumplipia .
 
Sinauhakika kama hao watu ndiyo suluhisho la matatizo yetu au ndiyo chanzo cha mtatizo yetu.

I feel you have lost 👉 . Ufupi no big issue.
Una hasira nae, baada ya kutoboa siri jinsi ulivyomlaza baba junior sebuleni ukimlazimisha ajiuzulu.
Hayo yalishaisha punguzeni vinyongo na visasi
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
Sioni tija kwa chama chake Wala walalahoi

La.anataka influence ya kweli... Awatembelee allies wa Magu
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
Kila la heri, ila kitu kimoja Lissu anapaswa kutambua kuwa Tanzania ni nchi huru, ina mipaka yake na Katiba yake. Haiwezi kuingiliwa na Mabeberu.
Lissu ni Mwanafunzi sana kwenye siasa za Kimataifa.
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.
Mwaka 2001-2005 nilikiwa nikiishi USA kwa shughuli zangu binafsi. Kwa USA wanaheshimu sana Taifa lao zaidi ya kitu chochote. Uwe mzawa au hata mgeni ukisikika unaisema kwa mabaya USA kukupoteza ni dakika moja

Hii haiishii kwa wanaoishi USA peke yao, lakini hata ikibainika Taifa lolote lina njama yoyote ya kuidhoofisha USA wako tayari kutumia uwezo wao wa aina yoyote kulipoteza Taifa hilo.

Hivyo Tundu Lisu asidhani kwamba waamerika wanafurahia kwa tabia zake. Kwani kwa tabia zake kamwe hawezi kupewa hifadhi America. Pamoja na kwamba wao wanawapenda sana vibalaka wa aina ya Tundu Lisu lakini siyo kwa kuwakaribisha waishi nchini kwao. Wakijua kwamba jasiri haachi asili.
 
US both houses of Senate & Congress currently wako busy na issue ya Trump impeachment, Lissu atapewa little attention, those who are following current political news in US watanielewa.. Trump impeachment process ndio imeshika kasi huko. Anyway acha aende ni haki yake na huenda atapata misaada yake binafsi
Self proclaimed US government spokesman.
Thank you.
 
Big up.
Hakuna namna. Hata kama wamarekani siyo watu wazuri kwetu kwa maana ya ubaguzi wa rangi, lakini tutafanyaje lazima tuwaambie siasa yetu ilivyo.
Ikibidi hata China ukipata nafasi go and tell them.

Watu wanakataza uhuru wa kujieleza, wanabomoa vyama vya siasa wanashindwa fahamu kama kusingekuwa na strong political parties wasingeupaya hata huo urais.
Kwani Marekani haina Balozi bongo?Mpaka Lissu akawaambie ya Tanzania, tumieni akili kidogo basi.
 
Mambo yanaanza hivi, ila nina wasiwasi Lissu siku moja ataipeleka hii nchi pasipo,
Wanaoipeleka nchi hii kusiko Ni Magufuli na CCM si Lisu. Hivi unapoidharau Mahakama na kumteua kada wa Chama kusimamia uchaguzi unakuwa umefanya nini kama si kuipeleka nchi kusiko!!!?
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

My take

Serikali yetu hatuna majasusi wa nje wa kitanzania? Wangetusaidia kujua ni nani anayemfadhili lissu huko ulaya.

Au ni michango ya matibabu ndio anatumia kufanya ziara? Au ni hela za uchaguzi mkuu wa chama ndizo zimetumika na ndio maana uchaguzi umeshindikana kufanyika?
 
Ungewataja kwanza waliomshambulia kwa risasi, hizo safari zake hazikuhusu. Mlishamvua ubunge mlidhani atadhalilika, bakini na hawa makondoo wanaotetemekea tumbo hapa nchini.
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Jana nimeanza ziara nchini Marekani, itakayonichukua hadi tarehe 13 ya mwezi huu. Niko Atlanta, Georgia, hadi tarehe 6; kati ya tarehe 7 na 9 nitakuwa Washington DC, na kati ya tarehe 10 na 12 nitakuwa Houston, Texas.

Nitakutana na viongozi wa Serikali na wabunge wa Marekani; taasisi za kimataifa na sekta binafsi; vyombo vya habari; pamoja na Watanzania waishio Marekani.

Nitarudi Ulaya tarehe 14 na kati ya tarehe 15 na 20 nitakuwa na ziara ya aina hiyo hiyo Ujerumani. Kwa hiyo, mapambano yanaendelea.

My take

Serikali yetu hatuna majasusi wa nje wa kitanzania? Wangetusaidia kujua ni nani anayemfadhili lissu huko ulaya.

Au ni michango ya matibabu ndio anatumia kufanya ziara? Au ni hela za uchaguzi mkuu wa chama ndizo zimetumika na ndio maana uchaguzi umeshindikana kufanyika?
CHADEMA!
 
Back
Top Bottom