Recent content by ContinousImprovement

  1. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Badala ya kusubiri Serikali Kwanini sisi wananchi tusianze kuonyesha tunachohitaji? Kwanini wananchi tusijitolee kusaidia Hospitali ambazo tayari zipo uwezo wa kutoa huduma? Kwanini kila kitu tusubiri serikali?
  2. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Miaka imebadilika, vijijini wengi wapo mjini. Huu uchaguzi utawakumbusha viongozi wa nchi kuwa wenye nguvu sio wao Bali ni Wananchi. Lissu atashinda na kwa pamoja tutaupigania Ushindi wake.
  3. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

    Sasa akijaribu kuzitoa si anajua namna wasaliti hufanywa? Hawezi Ongea trust me. Hata iweje.
  4. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Walevi wanajifariji sana

    Sasa msiokunywa mnajiona Jesus sana. Mnajifanya mnaijuuua Future utadhani nyie matajiri. Tusifokeane. Bila Pombe si ajabu usingezaliwa. Hebu kuwa na adabu.
  5. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Inaitwa attention to details bro. Hebu tulia umalize dozi.
  6. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Wewe ulikuwepo wakati hayo maneno yanaandikwa? Kama Fedha na Dhahabu ni Mali ya Bwana kwanini kanisani vito hivi hubadilishwa kuwa Fedha? Na pia ni nani huvipokea? Kisha kuvipokea hivifanyia nini? Vyakuambiwa, changanya na vyako.
  7. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya Polepole na Bashiru kama Makonda akipitishwa kugombea Kigamboni?

    Mi nadhani ni Hawa Hawa wametumwa kuja kuanzisha thread ili kupima upepo wa wananchi. Haiwezekani wakawa wepesi kiasi hiki kuhadaika.
  8. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Kwasababu pande hizi mbili Utajiri unatafsir tafauti. Upande wa Hela ni upande wa Shetani, kwamaana wao wanamiliki pesa, kwa maaana ya noti na thamani ambayo wao wameipa, upande wa pili ni Mwenyezi Mungu na yale yote makubwa kulipo pesa kwa thamani yake. Unaweza kuwa successful lakini usiwe na...
  9. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda anyimwa Dhamana, kisa Waraka. Hivi Kuandika Waraka kwa Sheria za Tanzania ni Kosa?

    Sasa kwanini Mwenyekiti wake ana mkana? Je anatumia ofisi for personal gain? Mi nahisi wenzake wana msnitch.
  10. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Acha woga.
  11. ContinousImprovement

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

    Hawa wote hawana presidential personalities. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ContinousImprovement

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

    Duh! Haya sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. ContinousImprovement

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

    Sasa mtoto analia anataka kunyonya. Mama amegoma kumnyonyesha. Hapo Nina umuhimu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ContinousImprovement

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

    Yupo mdada wa kazi. Japo sipati shida kufanya hayo kwa Familia yangu. Tatizo ni pale mnapogombana kidogo Halafu upande wa pili una behave as if I have done nothing at all. As if sina umuhimu wowote. Na hapo hapo ananijaribu kupitia mwanangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. ContinousImprovement

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume una faida gani kwenye ndoa?

    Kweli kabisa. Nadhani mimi sijaelewa majukumu yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom