Recent content by CONSULT

  1. CONSULT

    Ufufukaji wa uchumi wa China kunufaisha uchumi wa dunia unaokabiliwa na changamoto

    Mbona wote mko sawa hakuna tofauti kati yenu, Kufufuka, projection, hali halisi iliopo na iliyokuwepo
  2. CONSULT

    Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    Umesahau OUT najua wengi watapinga, hakika kwa taaluma endelevu OUT is one of the best university Tanzania.
  3. CONSULT

    Ninasomea degree ya automobile engineering (uhandisi wa magari)

    Tafadhali na mm nina mdogo wangu anapenda hiyo degree, ni chuo gani kinaitoa hiyo program ?
  4. CONSULT

    Kitanda cha kudumu

    Durability na Costs,, kitanda cha mninga kizuri labda 8x8 ft unaweza kuta zaidi sh 750,000 to 1 mln naamin ukipata fund mzr wa zege na form work hiki cha zege kitakuwa chini zaidi may be 300,000
  5. CONSULT

    Kitanda cha kudumu

    Hongera zake, wazo zuri sana,, finishing iwe maridadi tu na ange cast zege juu ya plastic carpet ili kihamishike katikati ana cast top ya zege iweze kutoka na kurudi, kitanda kizima iwe vipane 5 vya zege vyote kila kilmoja kina kitako chini kivito isipokuwa tu top
  6. CONSULT

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!!! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona nakuuhakiki...
  7. CONSULT

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  8. CONSULT

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?

    Tunawahitaji wote Employed(INTRAPRENEURS)Wajasrakazi and Self employed(ENTREPRENEURS) Wajasriamali
  9. CONSULT

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ? Moja ya changamoto kubwa tulionayo kwenye maendeleo ya ujasriamali hatimaye uchumi ni kukosekana kwa hawa watu muhimu (local content)kwa ngazi ya kitaifa na wawe kama role models kwa jamii...
  10. CONSULT

    Naomba nisaidiwe washauri wa mambo ya biashara na uchumi, nawapata wapi?

    Kama anapenda kufanya biashara, atafute fursa zilizopo na rasrimali anazoweza kupata na KUANZA TU kwa namna yeyote anzia padogo ukilenga PAKUBWA hakika atafika.
  11. CONSULT

    Naomba nisaidiwe washauri wa mambo ya biashara na uchumi, nawapata wapi?

    Unaweza kuniuliza hapa na nitajitahidi kukusaidia kadri ya uwezo wangu, ikibidi tutatafuta namna ya kukutana kwa nafasi pana zaidi, mm ni mtaalam kiasi changu na uzoefu pia kwenye uwekezaji wa Fedha(Financial Management and Investments), Biashara (hardware, transport, Microfinance n.k)
  12. CONSULT

    Tupe qoute au fact yako kuhusu nyanja yoyote

    "MJASRIAKAZI" By Munanka Samo (Intrapreneur) Ni mwajiriwa aidha meneja mwenye sifa zote kuu za kijasriamali
  13. CONSULT

    Tupe qoute au fact yako kuhusu nyanja yoyote

    Maana ya "BUSARA NA HEKIMA NI TAHADHARI" by Munanka Samo
  14. CONSULT

    Nitatumiaje Gari langu Private kujiongezea Kipato?

    Fun Cargo ,Vtz, IST, Probox, Belta, Ractis zote hizo zipo za 1290cc
Back
Top Bottom